-
Kaburi la umati lagunduliwa karibu na Mosul nchini Iraq
Nov 08, 2016 04:15Vikosi vya serikali ya Iraq vimegundua kaburi la umati karibu na mji wa Mosul ambao kwa sasa unashuhudia makabiliano makali kati ya vikosi hivyo na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS.
-
Iran yalaani mashambulizi ya kigaidi Samarra na Tikrit Iraq
Nov 07, 2016 00:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyopelekea watu wasiopungua 21 kuuawa katika miji ya Samarra na Tikrit nchini Iraq jana Jumapili.
-
Jeshi la Iraq laingia kaskazini mwa mji wa Mosul
Nov 06, 2016 09:46Wanajeshi wa Iraq wameingia katika eneo la kwanza kabisa la makazi ya watu kaskazini mwa mji wa Mosul, makao makuu ya mkoa wa Nainawa
-
Makumi ya maelfu ya watu waukimbia mkoa wa Nainawa, Iraq
Nov 05, 2016 23:14Kamati ya Wahajiri ya Bunge la Iraq imetangaza kuwa, karibu watu 29 elfu wameukimbia mkoa wa Nainawa tangu ilipoanza operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul, makao makuu ya mkoa huo.
-
Russia: Marekani inalenga makazi ya raia Mosul, Iraq
Nov 04, 2016 01:07Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa mashambulizi ya ndege za kivita za Marekani na washirika wake yanalenga zaidi makazi ya raia katika mji wa Mosul nchini Iraq.
-
Hashdu Shaabi: Hatuhitajii Marekani katika operesheni ya Mosul
Nov 02, 2016 11:10Kikosi cha kujitolewa cha Hashdu Shaabi kinachoshirikiana na jeshi la Iraq katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul toka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kimesema vikosi hivyo havihitajii muungano wa kijeshi wa Marekani katika mapambano hayo.
-
Jeshi la Iraq lajiandaa kuingia mjini Mosul, ngome ya genge la ISIS
Oct 28, 2016 04:19Mkuu wa mkoa wa Nineve (Nainawa) wa kaskazini mwa Iraq ametangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo linajiandaa kuigia katika mji wa Mosul kuwafurusha wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS.)
-
Mazoezi ya kijeshi ya mara kwa mara ya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Oct 27, 2016 03:53Majeshi ya nchi Kiarabu wanachama wa Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi tarehe 25 Oktoba yalianza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la "Amani ya Ghuba ya Uajemi-1".
-
Watu elfu tisa wamekuwa wakimbizi Mosul
Oct 26, 2016 03:31Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa watu karibu elfu tisa wamekuwa wakimbizi katika mji wa Mosul nchini Iraq.
-
Al-Abadi: Madai ya Uturuki kuwa inashiriki operesheni za kuikomboa Mosul, ni uongo mtupu
Oct 25, 2016 04:45Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa, madai yanayotolewa na serikali ya Uturuki kwamba inashiriki katika operesheni za kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwa magaidi wa Daesh (ISIS), ni madai batili.