-
Velayati: Ushindi unapatikana chini ya kivuli cha umoja
Oct 24, 2016 23:29Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu amesema kuwa, mahudhurio makubwa ya maulamaa wa Suni na Shia kutoka nchi mbalimbali katika Mkutano wa Mwamko wa Kiislamu uliofanyika nchini Iraq sambamba na operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwenye makucha ya magaidi wa Daesh ni ujumbe mkubwa kwamba ushindi unapatikana katika kivuli cha umoja na mshikamano wa Waislamu.
-
Haider al-Abadi: Uturuki haipambani na genge la Daesh bali ina njama
Oct 23, 2016 00:57Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi amesema kuwa, serikali ya Uturuki inafuatilia malengo yake katika eneo na kwa uhalisia haina lengo la kupambana na magaidi wa Daesh (ISIS).
-
Kuendelea kusonga mbele jeshi la Iraq katika mji wa Mosul, na wasi wasi wa njama za Marekani
Oct 20, 2016 03:41Jeshi la Iraq limetangaza kukombolewa maeneo ya kusini mwa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).
-
Russia yaionya Marekani dhidi ya kuwatoa magaidi Iraq hadi Syria
Oct 20, 2016 00:34Russia imeionya Marekani dhidi ya kuwafurusha wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kutoka Iraq hadi Syria, katika mashambulizi yake ya kuukomboa mji wa Mosul, kaskazini mwa Iraq.
-
Jeshi la Iraq lakomboa visima 100 vya mafuta kusini mwa Mosul
Oct 19, 2016 01:01Vikosi vya Iraq vimefanikiwa kukomboa visima 100 vya mafuta kusini mwa mji wa Mosul, katika operesheni maalumu ya kuukomboa mji huo kutoka mikononi mwa mgaidi wa Daesh.
-
Iraq: Nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi, wafadhili wa Daesh
Oct 18, 2016 03:38Waziri Mkuu wa Iraq amesema nchi kadhaa za Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi zinaliunga mkono na kulifadhili kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, linalofanya jinai za kutisha nchini humo na Syria.
-
Magaidi zaidi waangamizwa katika mkoa wa Salahuddin nchini Iraq
Oct 17, 2016 12:23Jeshi la Iraq limetangaza habari ya kushadidisha mashambulizi yake katika mkoa wa Salahuddin wa kaskazini mwa Baghdad, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Operesheni za kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwa Daesh zaanza
Oct 17, 2016 04:39Mashambulizi ya kila upande ya jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati za wanchi kwa ajili ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) zimeanza rasmi.
-
Wabunge Iraq wapinga kuweko kijeshi Uturuki huko Iraq
Oct 16, 2016 04:36Wabunge wa Iraq wametaka Uturuki iwekewe vikwazo kama radiamali kwa kuwepo wanajeshi wa nchi hiyo huko Iraq.
-
Iraq yamjibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia
Oct 14, 2016 11:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imeyataja matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia dhidi ya vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Iraq kuwa hayana maana na kusema kwamba, vikosi hivyo ni fakhari kwa Wairaqi.