-
Velayati: Wamagharibi wanapanga kuzigawa vipande vipande Iraq, Syria
May 01, 2016 23:22Afisa mwandamizi wa Iran amelaani vikali njama za nchi za Magharibi na waitifaki wao kieneo za kutaka kuzigawa vipande vipande Iraq na Syria.
-
Makumi waua katika mashambulizi ya bomu Iraq
May 01, 2016 09:59Kwa akali watu 38 wameuawa na wengine 86 kujeruhiwa katika mashambulizi pacha ya mabomu ya kutegwa kwenye magari katika mji wa Samawa, kusini mwa Iraq.
-
Watu 12 wauawa katika hujuma za kigaidi mjini Baghdad, Iraq
Apr 24, 2016 00:02Kwa akali watu 12 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi mawili ya bomu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Watu 9 wauawa katika hujuma yamsikitini Iraq
Apr 22, 2016 12:56Watu wasiopungua tisa wameuawa na wengine zaidi ya 25 kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti mmoja katika eneo la Radwaniyah kusini magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
‘Marekani imewatumia silaha magaidi wa ISIS Iraq’
Apr 10, 2016 10:41Maafisa wa polisi nchini Iraq wanasema wameona ndege za kijeshi za Marekani zikiwateremeshia shehena za silaha magaidi wa ISIS au Daesh katika mkoa wa Al Anbar.
-
Utafiti: Wairaqi wengi wanaamini kuwa US inaunga mkono ugaidi, Daesh
Apr 08, 2016 03:52Utafiti mpya wa maoni umeonyesha kuwa thuluthi moja ya wananchi wa Iraq wanaamini kuwa Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Jeshi la Iraq lamuua kiongozi wa Daesh aliyefyatua silaha za kemikali Kirkuk
Apr 01, 2016 23:25Hatimaye jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati za wananchi limefanikiwa kumuua kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh aliyehusika katika ufyatuaji wa silaha za kemikali mjini Kirkuk Iraq. Taarifa iliyotolewa na jeshi la Iraq, Abbas al-Kurdi, gaidi wa Daesh ameangamizwa akiwa pamoja na wanachama wengine wa genge hilo katika mapigano makali yanayoendelea kati ya wanamgambo wa Daesh na jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati hizo za wananchi.
-
Iran yalaani hujuma za kigaidi Pakistan na Iraq
Mar 28, 2016 03:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
Pentagon: Marekani kutuma vikosi zaidi nchini Iraq
Mar 26, 2016 03:39Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inajiandaa kutuma vikosi zaidi vya jeshi la nchini hiyo huko Iraq, eti kwa lengo la kuipa nguvu operesheni inayoendelea dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Kuongezeka operesheni ya vikosi vya Iraq dhidi ya Daesh
Mar 14, 2016 09:48Baada ya kuzingirwa eneo la kiistratejia la Hit katika mkoa wa al-Anbar magharibi mwa Iraq, Spika wa Bunge la nchi hiyo amesema kuwa, mkoa huo utakombolewa wote kutoka mikononi mwa magaidi wa Daesh katika siku chache zijazo.