Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Abbas Mousavi: Daima Iran itaendelea kuwa pamoja na serikali na taifa la Iraq

    Abbas Mousavi: Daima Iran itaendelea kuwa pamoja na serikali na taifa la Iraq

    Oct 07, 2019 02:38

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria matukio ya hivi karibuni nchini Iraq na kusema kuwa, Tehran daima itakuwa pamoja na serikali na wananchi wa nchi hiyo.

  • Waziri Mkuu wa Iraq aondoa sheria ya kutotoka nje

    Waziri Mkuu wa Iraq aondoa sheria ya kutotoka nje

    Oct 05, 2019 07:29

    Waziri Mkuu wa Iraq ametangaza kuondolewa sheria ya kutotoka nje ambayo ilikuwa imeanza kutekelezwa kufuatia maandamano na ghasia katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo.

  • Harakati ya Kiislamu Iraq: Marekani ina mkono katika machafuko ya Iraq

    Harakati ya Kiislamu Iraq: Marekani ina mkono katika machafuko ya Iraq

    Oct 05, 2019 02:38

    Harakati ya Kiislamu nchini Iraq imetangaza kuwa, serikali ya Marekani inahusika na machafuko ya sasa nchini humo kutokana na kutoridhishwa kwake na siasa za serikali ya Baghdad.

  • Usalama warejea katika mji  mkuu wa Iraq baada ya machafuko

    Usalama warejea katika mji mkuu wa Iraq baada ya machafuko

    Oct 04, 2019 12:14

    Usalama umerejea katika mji mkuu wa Iraq Baghdad, baada ya machafuko ya siku kadhaa.

  • Iraq yatangaza marufuku ya kutembea mjini Baghdad kudhibiti ghasia

    Iraq yatangaza marufuku ya kutembea mjini Baghdad kudhibiti ghasia

    Oct 03, 2019 07:55

    Waziri Mkuu wa Iraq, Adil Abdul Mahdi ametangaza marukufu ya kutembea watu na magari katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad kuanzia alfajiri ya leo Alkhamisi hadi hapo baadaye.

  • Alkhamisi, tarehe 3 Oktoba, 2019

    Alkhamisi, tarehe 3 Oktoba, 2019

    Oct 03, 2019 04:12

    Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Safar 1441 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2019.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Israel ndiyo inayoishambulia Hashdu Shaabi

    Waziri Mkuu wa Iraq: Israel ndiyo inayoishambulia Hashdu Shaabi

    Oct 01, 2019 07:56

    Waziri Mkuu wa Iraq ameubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutekeleza wimbi la mashambulizi dhidi ya harakati ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu ya Hashdu Shaabi.

  • Mazuwari kutoka nchi zaidi ya 100 watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu

    Mazuwari kutoka nchi zaidi ya 100 watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu

    Sep 17, 2019 07:58

    Mwakilishi wa misafara ya mazuwari nchini Iraq amesema: Watu kutoka zaidi ya nchi 100, wakiwemo hata wasio Waislamu watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu.

  • Iraq yavunja mtandao wa kigaidi kuelekea Arubaini ya Imam Hussein AS

    Iraq yavunja mtandao wa kigaidi kuelekea Arubaini ya Imam Hussein AS

    Sep 15, 2019 07:11

    Vyombo vya usalama nchini Iraq vimefanikiwa kuvunja mtandao wa kigaidi uliokuwa unakula njama ya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi wakati wa Arubaini ya Imam Hussein (AS).

  • Iran yatoa mkono wa pole kwa familia za Mashahidi wa Karbala

    Iran yatoa mkono wa pole kwa familia za Mashahidi wa Karbala

    Sep 11, 2019 07:35

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma salamu za rambirambi kwa serikali ya Iraq na familia za Mashahidi kufuatia tukio la kufa shahidi makumi ya watu katika mji mtakatifu wa Karbala.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS