-
Zarif: Uhusiano wa Iran na Iraq ni wa kihistoria, Marekani haiwezi kuaminika
Mar 10, 2019 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, Marekani inaishinikiza Iraq ikate uhusiano wake na Iran lakini katu wakuu wa Washington hawatafanikiwa katika hilo.
-
Jibu la Wairaqi kwa vita vya kinafsi vya Marekani dhidi ya makundi ya Muqawama
Mar 07, 2019 22:56Msemaji wa Harakati ya al Nujaba ya Iraq ametangaza kuwa, hatua ya Marekani ya kuiweka harakati hiyo katika orodha ya makundi ya kigaidi ni vita vya kinafsi na haiwezi kubadili lolote.
-
Iran na Iraq zakaribia kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano
Mar 07, 2019 07:34Spika wa bunge la Iraq katika ziara yake hapa Tehran ameonana na kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kujadili kuimarisha ushirikiano kati ya pande mbili.
-
Qassemi: Iran haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani na nje
Mar 04, 2019 10:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haikubali masharti na haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani ya nje.
-
Iraq yachunguza kuuzwa kwa wanawake wa Kiizadi katika nchi za Kiarabu
Mar 03, 2019 12:06Mwakilishi wa zamani wa kaumu wa Waizadi katika Bunge la Iraq amesema mpango wa kufanyika uchunguzi kuhusu ripoti ya kuuzwa wanawake wa kaumu hiyo huko Saudi Arabia na katika nchi nyingine za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi ungali unaendelea.
-
Jumapili 24 Februari 2019
Feb 23, 2019 23:11Leo ni Jumapili tarehe 18 Jamadith-Thani 1440 Hijiria, sawa na tarehe 24 Februari, 2019 Miladia.
-
Mtandao mkubwa wa kimataifa unaolifadhili kifedha DAESH Iraq wasambaratishwa
Feb 21, 2019 12:06Shirika la Intelijensia la Iraq limeeleza katika taarifa maalumu iliyotolewa leo, kwamba limeugundua na kuusambaratisha "mtandao mkubwa zaidi wa ufadhili wa kifedha" kwa ugaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo.
-
Iraq: Tutaendeleza zaidi uhusiano mwema na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 21, 2019 01:10Mshauri wa Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, licha ya vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Baghdad itaendeleza uhusiano wake na Iran ikiwemo sekta ya nishati.
-
Mkuu wa al Hashdu al Sha'abi: Iran imeisaidia Iraq katika mapambano dhidi ya Daesh
Feb 17, 2019 23:02Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya al Hashdu al Sha'abi na Baraza la Usalama wa Taifa la Iraq amesema kuwa Iran ni nchi pekee ambayo iliisaidia Iraq katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Safari ya kushtukiza ya Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraq
Feb 13, 2019 09:30Baada ya baadhi ya maeneo ya Iraq kudhibitiwa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mnamo mwezi Juni 2014, Marekani iliimarisha uwepo wake ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu sambamba na kuweka askari wake katika kambi kadhaa za kijeshi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.