-
Kataaib Hizbullah ya Iraq yaanzisha tena mashambulio dhidi ya askari wa Marekani
Apr 22, 2024 02:49Vikosi vya Muqawama wa Iraq vimetangaza kuwa, vimeanza tena kutekeleza operesheni za mashambulio dhidi ya vikosi vya majeshi ya Marekani.
-
Wanamuqawama wa Iraq washambulia maeneo 5 ya utawala wa Kizayuni
Apr 09, 2024 04:19Ripoti kutoka Iraq zinasema kuwa wapiganaji wa Muqawama wa Kiislamu wa Iraq wameshambulia maeneo matano ya Israel katika kuwaunga mkono raia wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza, ambao wanakabiliwa na vita vya kikatili na mauaji ya kimbari ya utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
VIDEO: Muqawama wa Iraq: Tumeshambulia Haifa kulipiza kisasi cha jinai za Wazayuni Ghaza
Apr 03, 2024 03:38Makukndi ya Muqawa wa Kiislamu ya Iraq yametangaza kuwa yameshambulia kambi ya jeshi la anga ya Tel Nof ya utawala wa Kizayuni kwenye mji wa Haifa ili kulipiza kisasi cha jinai zinazofanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Muqawama wa Iraq: Tumeshambulia kwa droni makao makuu ya wizara ya masuala ya kijeshi ya Israel
Mar 24, 2024 03:06Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Iraq imetangaza kuwa imeshambulia makao makuu ya wizara ya masuala ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutumia ndege isiyo na rubani mapema leo Jumapili.
-
Muqawama wa Iraq washambulia uwanja wa ndege Tel Aviv
Mar 20, 2024 23:23Kwa mara nyingine tena wanamuqawama wa Iraq wameshambulia Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion katika mji mkuu wa utawala haramu wa Israel, Tel Aviv.
-
Muqawama wa Iraq: Milango ya kuzimu itafunguka; watoa kauli ya mwisho kwa vikosi vamizi vya Marekani
Mar 17, 2024 07:27Baada ya wiki moja ya kukaa kimya kimkakati, moja ya makundi ya harakati kubwa ya muqawama ndani ya kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq cha Hashdu al Shaabi limetangaza wazi msimamo wake kuhusu masuala muhimu ya usalama wa taifa.
-
Iran na Iraq zasisitizia haja ya kusimamishwa mauaji ya kimbari Gaza
Mar 13, 2024 04:16Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Iraq wametoa mwito wa kuchukua hatua zaidi hasa za kisiasa kwa ajili ya kusimamisha mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Muqawama wa Iraq waendeleza mashambulizi dhidi ya maeneo ya Wazayuni + VIDEO
Mar 06, 2024 23:00Makundi ya muqawama wa Kiislamu ya Iraq yametangaza kuwa yameendelea kuyashambulia maeneo mbalimbali ya utawala wa Kizayuni kwa kutumia droni (ndege zisizo na rubani) na kwamba mashambulizi hayo yataendelea hadi Israel itakapokomesha mashambulio yake dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Jumanne, 5 Machi, 2024
Mar 04, 2024 23:05Leo ni Jumanne tarehe 24 ya mwezi Sha'ban 1445 Hijria sawa na tarehe 5 Machi 2024.
-
Kauli moja ya mirengo ya kisiasa ya Iraq kuhusu wajibu wa kuondoka wanajeshi wa kigeni nchini mwao
Feb 26, 2024 23:01Qasim al-Araji, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Iraq amesisitiza kuwa mirengo yote ya kisiasa ya nchi hiyo yanakubaliana kwa kauli moja kuhusu wajibu wa kuondoka wanajeshi wa kigeni nchini humo.