Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Umoja wa Ulaya wapinga kura ya maoni ya Kurdistan na kusisitizia umoja wa ardhi nzima ya Iraq

    Umoja wa Ulaya wapinga kura ya maoni ya Kurdistan na kusisitizia umoja wa ardhi nzima ya Iraq

    Sep 27, 2017 06:24

    Umoja wa Ulaya umepinga chokochoko zilizofanywa na baadhi ya Wakurdi wa Iraq za kuitisha kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan na ardhi nyingine ya nchi hiyo na umesisitizia wajibu wa kulindwa umoja wa ardhi nzima ya Iraq.

  • UN: Kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan kutoka Iraq itavuruga amani

    UN: Kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan kutoka Iraq itavuruga amani

    Sep 26, 2017 04:16

    Kwa mara nyingine tena António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu kitendo cha viongozi wa eneo la Kurdistan huko kaskzini mwa Iraq kushikilia suala la kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo hilo na serikali kuu ya nchi hiyo.

  • Nouri al Maliki: Njama za kuigawa Iraq ni muendelezo wa kuigawa Sudan

    Nouri al Maliki: Njama za kuigawa Iraq ni muendelezo wa kuigawa Sudan

    Sep 25, 2017 00:40

    Makamu wa Rais wa Iraq alisema jana (Jumapili) kuwa, hiki kinachotokea nchini Iraq hivi sasa ni muendelezo wa njama zile zile zilizopelekea Sudan Kusini kujitenga na Sudan.

  • Waziri Mkuu wa Iraq ametaka kusimamishwa kura ya maoni kuhusu Kurdistan

    Waziri Mkuu wa Iraq ametaka kusimamishwa kura ya maoni kuhusu Kurdistan

    Sep 18, 2017 22:08

    Haidar al Abadi Waziri Mkuu wa Iraq ametaka rasmi kusimamishwa kura ijayo ya maoni kuhusu kujitenga eneo la Kurdistan kufuatia serikali kuu kupinga vikali kura hiyo.

  • "Kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan ni hatari kwa umoja wa Iraq"

    Sep 15, 2017 09:42

    Sayyid Ammar Al-Hakim, kiongozi wa Muungano wa Kitaifa, ambao ni mrengo mkubwa zaidi wa kisiasa nchini Iraq ametahadharisha juu ya taathira hasi ya kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan, akisisitiza kuwa, kitendo hicho hakitakuwa na tija nyingine ghairi ya kuhatarisha usalama, amani na umoja wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Makumi wakiwemo Wairani 3 wauawa katika miripuko pacha ya mabomu Iraq

    Makumi wakiwemo Wairani 3 wauawa katika miripuko pacha ya mabomu Iraq

    Sep 14, 2017 10:11

    Kwa akali watu 50 wakiwemo raia watatu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu na ufyatuaji risasi huko kusini mwa Iraq.

  • Bunge la Iraq lapiga kura ya kupinga kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan

    Bunge la Iraq lapiga kura ya kupinga kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan

    Sep 12, 2017 10:24

    Bunge la Iraq limepiga kura kwa kishindo kupinga kufanyika kura ya maoni ya kutaka kujitenga eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan.

  • Viongozi wa Daesh waendelea kujisalimisha kwa askari wa Iraq, wengine wauawa

    Viongozi wa Daesh waendelea kujisalimisha kwa askari wa Iraq, wengine wauawa

    Sep 05, 2017 23:24

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh limemuua mmoja wa makamanda wake wa ngazi ya juu baada ya kutaka kujisalimisha kwa askari wa Kikurdi wa Peshmerga.

  • Sisitizo la kulindwa umoja wa kitaifa nchini Iraq

    Sisitizo la kulindwa umoja wa kitaifa nchini Iraq

    Sep 03, 2017 23:49

    Msimamo wa eneo la Kurdistan wa kutaka kuitisha kura ya maoni ya tarehe 25 mwezi huu kwa ajili ya kujitenga eneo hilo, umeendelea kukabiliwa na radiamali kali ya serikali ya Iraq, makundi tofauti ya nchi hiyo, nchi za eneo na ulimwengu mzima kwa ujumla.

  • Familia za Daesh zakimbia  kaskazini mwa mkoa wa  Salahuddin Iraq

    Familia za Daesh zakimbia kaskazini mwa mkoa wa Salahuddin Iraq

    Sep 03, 2017 23:13

    Sambamba na kukaribia wakati wa kutekelezwa oparesheni ya kuukomboa mji wa Shirqat katika mkoa wa Salahhudin huko kaskazini mwa Iraq, familia za magaidi wa kundi la Daesh zimeripotiwa kulikimbia eneo hilo usiku kucha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS