Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Maneva ya Hashdu sh-Sha'abi ya kupambana na ugaidi katika mpaka wa Iraq na Syria

    Maneva ya Hashdu sh-Sha'abi ya kupambana na ugaidi katika mpaka wa Iraq na Syria

    Jun 01, 2017 05:37

    Hivi karibuni Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, alinukuliwa akielezea utayarifu wa wapiganaji wa harakati hiyo kwa ajili ya kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh katika ardhi ya Syria kupitia ushirikiano na serikali ya Damascus.

  • Idadi ya waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi Iraq yafikia 115

    Idadi ya waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi Iraq yafikia 115

    May 30, 2017 11:10

    Polisi ya Iraq imetangaza kuwa idadi ya watu waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililofanywa usiku wa kuamkia leo kwenye eneo la Al-Karrada katika mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad imeongezeka na kufikia 115.

  • Hashdu Sha'abi Iraq: Tupo tayari kwenda kuisafisha Syria kutokana na Daesh

    Hashdu Sha'abi Iraq: Tupo tayari kwenda kuisafisha Syria kutokana na Daesh

    May 30, 2017 03:57

    Msemaji wa Harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, ameelezea utayarifu wa wapiganaji wake kwa ajili ya kupambana na genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh ndani ya ardhi ya Syria kupitia ushirikiano kamili wa serikali ya nchi hiyo.

  • Kiongozi wa Mayazidi Iraq, awataka vijana wa kabila hilo kujiunga na Hashdu Sha'abi

    Kiongozi wa Mayazidi Iraq, awataka vijana wa kabila hilo kujiunga na Hashdu Sha'abi

    May 29, 2017 09:39

    Kiongozi Mkuu wa watu wa kabila la Mayazidi nchini Iraq, sambamba na kutoa pongezi na shukurani za dhati kwa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini, amewataka pia vijana wa kabila hilo kujiunga na harakati hiyo kuilinda nchi.

  • Jaafari: Iraq haitounga mkono muungano dhidi ya Iran

    Jaafari: Iraq haitounga mkono muungano dhidi ya Iran

    May 28, 2017 23:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema nchi yake katu haitounga mkono wala kushirikiana na muungano wowote uliopo au utakaoundwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Vikosi vya ulinzi vya Iraq katika hatari ya mashambulizi ya Marekani

    Vikosi vya ulinzi vya Iraq katika hatari ya mashambulizi ya Marekani

    May 24, 2017 23:03

    Katika hali ambayo harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq katika kukabiliana na ugaidi inaendelea kupongezwa na viongozi, wananchi na hata katika fikra za walio wengi, wanamapambano wa harakati hiyo bado wanaendelea kushambuliwa na ndege za kijeshi za Marekani.

  • Muqtada Sadr aitisha maandamano nje ya ubalozi wa Bahrain, Baghdad

    Muqtada Sadr aitisha maandamano nje ya ubalozi wa Bahrain, Baghdad

    May 24, 2017 03:23

    Sayyid Muqtada Sadr, Kiongozi wa Harakati ya Sadr ya Iraq amewataka wananchi wa taifa hilo la Kiarabu wakusanyike nje ya ubalozi wa Bahrain mjini Baghdad, kulalamikia ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Aal-Khalifa dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na viongozi wao nchini humo.

  • Onyo la Waziri Mkuu wa Iraq juu ya njama za kimataifa dhidi ya taifa hilo

    Onyo la Waziri Mkuu wa Iraq juu ya njama za kimataifa dhidi ya taifa hilo

    May 20, 2017 23:25

    Akizungumza mbele ya waandishi wa habari mjini Baghdad hapo siku ya Ijumaa Haider al-Abad, Waziri Mkuu wa lraq alikosoa vikali hatua ya kufanyika mwezi mmoja uliopita vikao vya eti kujadili mustakbali wa lraq huko mjini Geneva Uswisi kwa ubunifu wa Marekani na vilevile mjini lstanbul kwa ubunifu wa Uturuki.

  • Vita laini nchini Iraq baada ya kukombolewa mji wa Mosul kutoka kwa magaidi wa ISIS

    Vita laini nchini Iraq baada ya kukombolewa mji wa Mosul kutoka kwa magaidi wa ISIS

    May 18, 2017 02:40

    Sayyid Ammar al-Hakim, Mkuu wa Muungano wa Kitaifa nchini Iraq, amesema kuwa, baada ya kukombolewa mji wa Mosul, sasa maadui wanakusudia kuanzisha vita laini vyenye lengo la kuibua tofauti baina ya taifa la Iraq.

  • 90% ya mji wa Mosul wakombolewa, Magaidi 170 wauawa Iraq

    90% ya mji wa Mosul wakombolewa, Magaidi 170 wauawa Iraq

    May 16, 2017 09:56

    Kamanda wa Operesheni ya Jeshi la Iraq ametangaza habari ya kukombolewa asilimia 90 ya maeneo ya magharibi mwa mji wa Mosul yaliyokuwa yakishikiliwa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS