Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Iran yalaani mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Syria

    Iran yalaani mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Syria

    Mar 09, 2023 23:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani wimbi la mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria, wakati huu ambapo taifa hilo linakabiliwa na matatizo chungu nzima kutoka na maafa makubwa ya matetemeko ya ardhi.

  • Afrika Kusini katika mchakato wa kupunguza kiwango cha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Afrika Kusini katika mchakato wa kupunguza kiwango cha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mar 09, 2023 22:54

    Bunge la Afrika Kusini limetangaza kupitisha sheria ya kupunguza kiwango cha uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kusisitiza kwamba utawala huo unaozikoloni ardhi za Palestina ni utawala wa kibaguzi au apathaidi ambao unawadhulumu na kuwabagua Wapalestina.

  • 'Pango la Simba' kulipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Jenin

    'Pango la Simba' kulipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Jenin

    Mar 08, 2023 06:23

    Kundi la Muqawama wa Kiislamu la Arin al Usud (Pango la Simba) limesema litalipiza kisasi cha mauaji ya kikatili ya Wapalestina katika mji wa Jenin katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Afrika Kusini kupunguza kiwango cha uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Afrika Kusini kupunguza kiwango cha uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mar 08, 2023 03:09

    Bunge la Afrika Kusini jana Jumanne lilipiga kura ya kuunga mkono kushushwa hadhi ya ubalozi wa nchi hiyo huko Israel kutokana na kuendelea unyanyasaji na mauaji ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina.

  • Mash'al: Kuanzisha uhusiano na Israel umeisababishia Palestina dhiki

    Mash'al: Kuanzisha uhusiano na Israel umeisababishia Palestina dhiki

    Mar 05, 2023 07:28

    Kiongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi ameyakosoa baadhi ya madola ya Kiarabu kwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel na kusisitiza kuwa, ushirikiano na utawala huo wa Kizayuni haujakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuwasababishia Wapalestina dhiki na matatizo.

  • "Mkutano wa Aqaba unaipa Israel kibali cha kushadidisha jinai dhidi ya Wapalestina"

    Feb 27, 2023 06:13

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameashiria mkutano eti wa kiusalama ulioandaliwa na Marekani huko Jordan na kusisitiza kuwa, kikao hicho cha Aqaba kinalenga kuupa utawala wa Kizayuni wa Israel ridhaa ya kushadidisha jinai zake dhidi ya Wapalestina.

  • Iran: Kusambaratika Israel hakuepukiki licha ya uungaji mkono wa US

    Iran: Kusambaratika Israel hakuepukiki licha ya uungaji mkono wa US

    Feb 23, 2023 23:37

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utawala haramu wa Israel upo katika ncha ya kusambaratika na kutokomea, licha ya uungaji mkono.

  • Oman yaruhusu ndege za Israel zitumie anga yake

    Oman yaruhusu ndege za Israel zitumie anga yake

    Feb 23, 2023 23:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel amedai kuwa, Oman imeidhinisha ndege za utawala huo haramu kuruka katika anga ya nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.

  • Baraza la Usalama lalaani ujenzi wa vitongoji haramu Palestina inayokaliwa kwa mabavu

    Baraza la Usalama lalaani ujenzi wa vitongoji haramu Palestina inayokaliwa kwa mabavu

    Feb 21, 2023 03:51

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha rasimu ya azimio linalolaani uamuzi wa serikali ya Israel yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya tisa katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Nchi za Amerika ya Latini zalaani ujenzi wa vitongoji haramu

    Nchi za Amerika ya Latini zalaani ujenzi wa vitongoji haramu

    Feb 18, 2023 06:23

    Kundi la nchi za Amerika ya Latini limelaani na kukosoa vikali uamuzi wa serikali ya Israel yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya tisa katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS