Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Amnesty yataka Israel ihakikishe chanjo za corona zinawafikia Wapalestina

    Amnesty yataka Israel ihakikishe chanjo za corona zinawafikia Wapalestina

    Jan 06, 2021 23:06

    Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel utekeleze wajibu wake wa kimataifa na kuhakikisha kuwa chanjo za kupambana na ugonjwa wa Covid-19 zinawafikia wananchi wa Palestina.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ushahidi unaonesha kuwa Israel ilimuua shahidi Fakhrizadeh

    Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ushahidi unaonesha kuwa Israel ilimuua shahidi Fakhrizadeh

    Jan 06, 2021 12:27

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuna ushahidi wa kutosha na wenye mashiko unaoonesha kuwa utawala haramu wa Israel ulihusika na mauaji ya kigaidi dhidi ya mwanasayansi bingwa wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu, Mohsen Fakhrizadeh.

  • Tutu: Biden aache kuficha na kufadhili silaha za nyuklia za Israel

    Tutu: Biden aache kuficha na kufadhili silaha za nyuklia za Israel

    Jan 01, 2021 09:53

    Katibu Mkuu wa zamani wa Baraza la Makanisa ya Afrika Kusini Askofu Desmond Tutu amemtaka rais mteule wa Marekani Joe Biden kuacha kukingia kifua silaha za nyuklia za Israel na kusitisha ufadhili mkubwa wa Washington kwa miradi ya silaha za nyuklia ya utawala huo.

  • Yemen yaionya Israel isijaribu kuivamia, yajibu vitisho vya Tel Aviv

    Yemen yaionya Israel isijaribu kuivamia, yajibu vitisho vya Tel Aviv

    Dec 27, 2020 20:50

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Uokovu ya Yemen imetahadharisha kuwa, vita vikubwa vitaibuka katika eneo la Asia Magharibi iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utathubutu kuivamia Yemen.

  • Kuvunjwa Bunge la 'Knesset' na upeo wa kisiasa wa utawala haramu wa Israel

    Kuvunjwa Bunge la 'Knesset' na upeo wa kisiasa wa utawala haramu wa Israel

    Dec 25, 2020 06:01

    Bunge la utawala haramu wa Israel Knesset lilivunjwa rasmi usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita ambapo kwa kusambaratika serikali ya muungano, sasa uchaguzi mpya wa Bunge ambao ni wanne katika kipindi cha miaka miwili unapasa kufanyika Machi 23 mwaka ujao wa 2021.

  • Haniya: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kuupiga jambia umma wa Kiislamu

    Haniya: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kuupiga jambia umma wa Kiislamu

    Dec 24, 2020 04:34

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kitendo cha baadhi ya nchi za Kiarabu cha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni sawa na kuwapiga jambia kwa nyuma wananchi wa Palestina na umma wa Kiislamu kwa ujumla.

  • Pakistan yaiambia UAE: Katu hatutaitambua Israel

    Pakistan yaiambia UAE: Katu hatutaitambua Israel

    Dec 22, 2020 03:53

    Kwa mara nyingine tena, serikali ya Pakistan imesisitiza kuwa, kamwe haitoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel licha ya mashinikizo ya nchi ajinabi.

  • Hamas yaikosoa Imarati kwa kuunga mkono sera za Israel

    Hamas yaikosoa Imarati kwa kuunga mkono sera za Israel

    Dec 21, 2020 04:46

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu unaunga mkono sera za utawala wa Kizayuni wa Israel kwa madhara na ukiukaji wa haki za Wapalestina.

  • UN yalaani hatua ya Israel ya kuendelea kuua watoto wa Kipalestina

    UN yalaani hatua ya Israel ya kuendelea kuua watoto wa Kipalestina

    Dec 18, 2020 03:50

    Wataalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamelaani vikali kitendo cha wanajeshi wa utawala haramu wa Israel cha kumuua kijana mwingine wa Kipalestina, huo ukiwa ni muendelezo wa mauaji dhidi ya watoto wa Kipalestina yanayofanywa na Wazayuni.

  • Indonesia yakadhibisha madai ya kutaka kuanzisha uhusiano na Israel

    Indonesia yakadhibisha madai ya kutaka kuanzisha uhusiano na Israel

    Dec 17, 2020 01:12

    Indonesia imekanusha madai ya kipropaganda ya vyombo vya habari vya Wazayuni kwamba inataka kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS