Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Waziri aongoza walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds

    Waziri aongoza walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds

    Apr 12, 2019 00:01

    Waziri mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameliongoza genge la walowezi wa Kizayuni katika kushambulia na kuvunjia heshima Msikiti mtukufu wa al-Aqsa na kibla cha kwanza cha Waislamu wote duniani.

  • Wizara: Israel inatumia gesi za sumu dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina

    Wizara: Israel inatumia gesi za sumu dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina

    Apr 09, 2019 10:08

    Msemaji wa Wizara ya Afya ya Gaza amesema utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukitumia gesi za sumu dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina katika ukanda huo.

  • Uturuki yakosoa matamshi ya kijuba ya Waziri Mkuu wa Israel

    Uturuki yakosoa matamshi ya kijuba ya Waziri Mkuu wa Israel

    Apr 08, 2019 03:27

    Uturuki imekosoa vikali matamshi wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu aliyedai kuwa iwapo ataibuka mshindi katika uchaguzi mkuu ujao, basi atauunganisha rasmi Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na maeneo mengine ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu, chini ya mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne".

  • Msimamo wa Oman wa kuiunga mkono Israel wakosolewa na Jordan

    Msimamo wa Oman wa kuiunga mkono Israel wakosolewa na Jordan

    Apr 07, 2019 11:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan ametoa jibu kwa matamshi ya waziri mwenzake wa Oman ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kwamba, tatizo kuu ni ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na Israel.

  • Israel: Jeshi letu la anga haliwezi kukabiliana na makombora ya muqawama

    Israel: Jeshi letu la anga haliwezi kukabiliana na makombora ya muqawama

    Apr 06, 2019 21:55

    Kituo cha Utafiti wa Usalama wa Taifa cha utawala wa Kizayuni wa Israel kimekiri katika ripoti yake maalumu kwamba jeshi la anga na taasisi za kijasusi za utawala huo, hazina uwezo wa kukabiliana na makombora ya wanamuqawama wa Kiislamu.

  • Sheikh Issa Qassim alaani mpango wa kukaribishwa Wazayuni Bahrain

    Sheikh Issa Qassim alaani mpango wa kukaribishwa Wazayuni Bahrain

    Apr 03, 2019 10:22

    Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Bahrain, Sheikh Isa Qassim amekosoa vikali hatua ya kualikwa Wazayuni kwenye Kongamano la Kibiashara linalotazamiwa kufanyika katikati ya mwezi huu wa Aprili nchini humo.

  • Safari ya rais wa Brazil Palestina inayokaliwa kwa mabavu, tamaa ya Wazayuni yashindwa kutimia

    Safari ya rais wa Brazil Palestina inayokaliwa kwa mabavu, tamaa ya Wazayuni yashindwa kutimia

    Apr 02, 2019 03:01

    Kuingia madarakani Rais Jair Bolsonaro huko Brazil ambaye alianza kazi yake rasmi mwezi Januari mwaka huu wa 2019 kumepokewa kwa hisia tofauti.

  • Afisa wa serikali afukuzwa kazi kwa kutaka Somalia iwe na uhusiano na Israel

    Afisa wa serikali afukuzwa kazi kwa kutaka Somalia iwe na uhusiano na Israel

    Apr 01, 2019 20:25

    Serikali ya Somalia imempiga kalamu nyekundu Mkurugenzi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo, kwa kutoa mwito wa kuwepo uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wabunge wa Bahrain wakosoa kualikwa Wazayuni katika Kongamano la Biashara

    Wabunge wa Bahrain wakosoa kualikwa Wazayuni katika Kongamano la Biashara

    Apr 01, 2019 10:32

    Wabunge wa Bahrain wamekosoa vikali hatua ya kualikwa wazungumzaji kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Kongamano la Kibiashara linalotazamiwa kufanyika katika kipindi cha wiki mbili zijazo nchini humo.

  • Kuwait yasusia mkutano wa Bahrain kutokana na kushiriki Wazayuni

    Kuwait yasusia mkutano wa Bahrain kutokana na kushiriki Wazayuni

    Mar 31, 2019 22:23

    Kufuatia ushiriki wa idadi kadhaa ya viongozi wa Kizayuni katika mkutano uliopewa jina la 'Ujasiriamali' nchini Bahrain, Waziri wa Viwanda wa Kuwait ametangaza kususia mkutano huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS