Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Hizbullah: Zama za Israel kufanya mashambulizi bila majibu zimepita

    Hizbullah: Zama za Israel kufanya mashambulizi bila majibu zimepita

    Feb 12, 2018 04:21

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, zile zama za utawala wa Kizayuni wa Israel kufanya mashambulizi na kuachiwa vivi hivi bila ya majibu zimeisha na kuanzia sasa shambulio lolote la Wazayuni litajibiwa vikali.

  • Israel yabomoa shule za EU huko Palestina inyaokaliwa kwa mabavu

    Israel yabomoa shule za EU huko Palestina inyaokaliwa kwa mabavu

    Feb 09, 2018 11:00

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, Wapalestina na Mabedui wanaoishi katika kitongoji cha Area C katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina wapo katika hatari ya kufurushwa kwenye makazi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Rais wa Lebanon asema jeshi la nchi hiyo liko tayari kuikabili Israel

    Rais wa Lebanon asema jeshi la nchi hiyo liko tayari kuikabili Israel

    Feb 09, 2018 10:39

    Rais wa Lebanon ameliagiza jeshi la nchi hiyo kuwa macho dhidi ya njama zozote za utawala haramu wa Israel za kujaribu kudhalilisha uhuru wa kujitawala nchi hiyo.

  • Mwanaharakati wa kike aliyekosoa mahusiano ya Saudia na Israel aendelea kushikiliwa Riyadh

    Mwanaharakati wa kike aliyekosoa mahusiano ya Saudia na Israel aendelea kushikiliwa Riyadh

    Feb 08, 2018 10:54

    Mwanaharakati wa kike ambaye alikosoa kitendo cha kuanzishwa mahusiano kati ya nchi za Kiarabu zikiongozwa na Saudia, na utawala haramu wa Israel, anaendelea kushikiliwa katika korokoro za kutisha za utawala wa Aal Saud.

  • Saudia yafungua rasmi anga yake kwa ajili ya ndege zinazokwenda Israel

    Saudia yafungua rasmi anga yake kwa ajili ya ndege zinazokwenda Israel

    Feb 08, 2018 00:28

    Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia, Saudi Arabia imefungua anga yake kwa ajili ya ndege zinazoelekea katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni tangu mwaka 1948 ambazo zimebadilishwa jina na kuitwa Israel.

  • Jeshi la Israel lamuua shahidi kijana wa Palestina

    Jeshi la Israel lamuua shahidi kijana wa Palestina

    Feb 07, 2018 04:41

    Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamemuua shahidi Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, kwa tuhuma kuwa alitaka kumdunga kisu askari wa Kizayuni.

  • Jeshi la Syria lajibu mapigo, latungua makombora ya Israel

    Jeshi la Syria lajibu mapigo, latungua makombora ya Israel

    Feb 07, 2018 04:06

    Jeshi la Syria limetoa jibu kali kwa uvamizi mpya wa Israel, baada ya utawala huo wa Kizayuni kuanzisha mashambulizi ya makombora viungani mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus.

  • Viongozi wa Lebanon wasema Israel ni tishio kwa usalama mpakani

    Viongozi wa Lebanon wasema Israel ni tishio kwa usalama mpakani

    Feb 06, 2018 10:47

    Viongozi watatu wa ngazi za juu nchini Lebanon wamesema utawala haramu wa Israel ni tishio kwa uthabiti wa eneo la mpakani.

  • Mwanamfalme wa Bahrain atembelea Israel, atazamiwa kuhudhuria bunge

    Mwanamfalme wa Bahrain atembelea Israel, atazamiwa kuhudhuria bunge

    Feb 05, 2018 13:07

    Waziri wa Mawasiliano wa utawala wa Kizayuni wa Israel Ayoub Kara amethibitisha kuwa amekutana na mwanamfalme wa Bahrain Mubarak Aal Khalifa mjini Tel Aviv.

  • Israel yaanza kuwapa wahajiri wa Afrika ilani ya kutimuliwa

    Israel yaanza kuwapa wahajiri wa Afrika ilani ya kutimuliwa

    Feb 05, 2018 01:08

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanza kuwapa ilani ya kutimuliwa maelfu ya wahajiri wa Kiafrika walioingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo haramu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS