-
Hizbullah: Lebanon si tonge laini kwa yeyote
Feb 03, 2018 04:11Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon, amejibu madai ya hivi karibuni ya Avigdor Lieberman, Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel aliyedai kwamba kisima nambari tisa cha mafuta na gesi ya Lebanon katika Bahari ya Mediterranean ni mali ya Israel na kusema, Lebanon sio tonge laini kwa yeyote yule.
-
Israel: Changamoto kubwa inayotukabili ni uwezo mkubwa wa Hizbullah unaoongezeka
Jan 31, 2018 12:01Gadi Eizenkot, mkuu wa majeshi ya utawala haramu wa Israel ameonyesha wasiwasi wake mkubwa juu ya kuongezeka uwezo wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Jumamosi, 27 Januari 2018
Jan 27, 2018 00:45Leo ni Jumamosi tarehe 9 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe 27 Januari mwaka 2018 Miladia.
-
Makundi ya kitakfiri yahudumia malengo ya utawala wa Kizayuni
Jan 27, 2018 00:44Duru za habari zimefichua sura mpya na pana zaidi ya ushirikiano wa utawala wa Kizayuni wa Israel na makundi ya kitakfiri na kigaidi huko Syria na kutangaza kwamba, utawala huo umeunda kundi la kigaidi kwa ajili ya kuusaidia utawala huo katika maeneo unayoyakalia kwa mabavu ya Golan.
-
Iran yasema utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo cha matatizo Mashariki ya Kati
Jan 26, 2018 00:27Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio kitovu cha matatizo Mashariki ya Kati ambapo sera zake za uvamizi na kujitanua zimefanya hali kuwa mbaya zaidi.
-
Baraza la Haki za Binadamu la UN lakosoa jinai za Israel
Jan 24, 2018 10:33Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limeukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na jinai unazowafanyia wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Sweden: Israel inayo makombora ya nyuklia
Jan 24, 2018 04:26Waziri Mkuu wa zamani wa Sweden Carl Bildt ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba: Israel inayo makombora ya kisasa ya balistiki yenye uwezo wa kinyuklia.
-
Abbas autaka Umoja wa Ulaya kutambua rasmi nchi huru ya Palestina
Jan 22, 2018 22:59Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameutaka Umoja wa Ulaya (EU) kuharakisha suala la kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Hassan Nasrullah: Inasikitisha kuona bado kuna nchi zinaendeleza uhusiano na Israel
Jan 20, 2018 01:12Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon sambamba na kuzitaka nchi zote za dunia kujiepusha kufanya uhusiano na utawala katili wa Israel, ameonyesha masikitiko kwamba bado kuna nchi zinaendeleza uhusiano na utawala huo.
-
Mkutano wa al-Azhar: Baytul-Muqaddas ni mji mkuu wa milele wa Palestina
Jan 19, 2018 00:44Washiriki wa mkutano wa kimataifa wa kuunga mkono Quds uliofanyika katika Chuo Kikuu cha al-Azhar huko Cairo Misri umesisitiza umuhimu wa kutangazwa Baytul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa milele wa Palestina.