Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Sisitizo la Umoja wa Mataifa kuhusu udharura wa kufanyika uchunguzi kuhusiana na jinai za Israel

    Sisitizo la Umoja wa Mataifa kuhusu udharura wa kufanyika uchunguzi kuhusiana na jinai za Israel

    Jan 14, 2018 09:22

    Stéphane Dujarric, Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesisitizia umuhimu wa kufanyika uchunguzi wa haraka na wa makini kuhusu kesi zote za utumiaji nguvu na ukatili zilizofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina na kupelekea idadi kubwa kati yao kuuawa shahidi.

  • Burkina Faso: Hatua ya Trump dhidi ya Quds inapaswa kuzuiwa

    Burkina Faso: Hatua ya Trump dhidi ya Quds inapaswa kuzuiwa

    Jan 14, 2018 04:29

    Naibu Spika wa Bunge la Burkina Faso ametoa mwito wa kusimamishwa utekelezwaji wa mpango wa Marekani wa kuuhamishia mjini Quds Tukufu, ubalozi wake ulioko Tel Aviv.

  • Israel yatishia kuwanyonga waandishi wa habari

    Israel yatishia kuwanyonga waandishi wa habari

    Jan 14, 2018 01:11

    Waziri wa Mawasiliano wa Utawala Haramu wa Israel, Ayoob Kara ametishia kuwanyonga waandishi wa habari na wamiliki wa vyombo hivyo ndani ya utawala huo.

  • Israel: Hizbullah itakuwa na uwezo wa kuvurumisha makombo 4000 kwa siku katika vita ijayo

    Israel: Hizbullah itakuwa na uwezo wa kuvurumisha makombo 4000 kwa siku katika vita ijayo

    Jan 13, 2018 10:46

    Utawala haramu wa Israel umetangaza kupitia gazeti lake la Yedioth Ahronoth kwamba, harakati ya Hizbullah nchini Lebanon, itakuwa na uwezo wa kuvurumisha makombora 4000 kwa siku kwenda ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) katika vita yoyote ijayo.

  • UN yasisitiza tena kwamba ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni Palestina si halali

    UN yasisitiza tena kwamba ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni Palestina si halali

    Jan 12, 2018 04:38

    Mratibu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Mashariki ya Kati amekosoa vikali maamuzi ya utawala haramu wa Israel ya kujenga nyumba mpya zaidi ya 1000 katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Palestina na kusema kuwa, hatua hiyo inakinzana na sheria za kimataifa.

  • Wasiwasi wa asasi za kimataifa wa kushadidi vitendo vya utumiaji mabavu vya Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina

    Wasiwasi wa asasi za kimataifa wa kushadidi vitendo vya utumiaji mabavu vya Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina

    Jan 11, 2018 04:32

    Duru mpya ya vitendo vya utumiaji mabavu na kupenda kujitanua ya utawala ghasibu wa Israel iliyoanza mwanzoni mwa mwaka huu mpya wa 2018, imewafanya Wapalestina hususan watoto wa Kipalestina kuendelea kukabiliwa na jinai kubwa za utawala huo vamizi.

  • UN yalaani hatua ya Israel ya kuwafukuza wahajiri wa Kiafrika

    UN yalaani hatua ya Israel ya kuwafukuza wahajiri wa Kiafrika

    Jan 10, 2018 01:06

    Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel kufuta mpango ulioanza kuutekeleza hivi karibuni wa kuwarejesha nchini kwao kwa nguvu makumi ya maelfu ya Waafrika walioingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo haramu.

  • Saudia kununua mfumo wa makombora kutoka Israel

    Saudia kununua mfumo wa makombora kutoka Israel

    Jan 09, 2018 12:42

    Gazeti la moja la Uswisi limefichua mpango wa Saudi Arabia kutaka kununua mfumo wa ngao ya makombora kutoka utawala wa Kizayuni wa Israel, katika hali ambayo ripoti zinasema tawala mbili hizo zipo mbioni kuimarisha uhusiano wao dhidi ya Iran.

  • Mtaalamu: Hizbullah itaibuka mshindi katika vita vyovyote na Israel

    Mtaalamu: Hizbullah itaibuka mshindi katika vita vyovyote na Israel

    Jan 06, 2018 23:14

    Uwezo wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon katika nyuga tofauti zikiwemo za kijeshi, vita stadi na vita vya kisaikolojia umeutia kiwewe utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kiasi cha kuwafanya weledi wa masuala ya kivita kusema kwamba, vita vyovyote vitakavyojiri kati ya Israel na harakati hiyo, vitamalizika kwa ushindi wa Hizbullah.

  • Rwanda pia yakanusha taarifa za kukubaliana na Israel kuwapokea wahajiri

    Rwanda pia yakanusha taarifa za kukubaliana na Israel kuwapokea wahajiri

    Jan 06, 2018 00:32

    Serikali ya Rwanda imekanusha taarifa za kukubali kuwapokea maelfu ya wahajiri wa Kiafrika kama sehemu ya mpango uliofikiwa baina yake na utawala wa Kizayuni wa Israel, muda mfupi baada ya Uganda kukabidhisha madai hayo ya Tel Aviv.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS