-
Israel yawatimua wahajiri 38,000 wa Kiafrika
Jan 04, 2018 10:16Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanza kutekeleza mpango wa kuwarejesha nchini kwao kwa nguvu makumi ya maelfu ya Waafrika walioingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo haramu.
-
Macron: Vitisho vya US, Israel na Saudia dhidi ya Iran ni njia ya vita
Jan 04, 2018 04:23Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametaka kulindwa njia ya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rouhani na Erdogan walaani msimamo wa US, Israel dhidi ya Iran
Jan 03, 2018 23:05Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wamekosoa vikali uchochezi na uungaji mkono wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa waandamanaji wanaofanya fujo na ghasia nchini.
-
Israel na siasa za kunyakua ardhi za Wapalestina
Jan 02, 2018 09:49Kituo kimoja cha uhakiki cha Palestina kimetangaza kuwa, katika mwaka uliopita wa 2017 utawala vamizi wa Israel ulipora zaidi ya hekari 900 za ardhi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kwa lengo la kujenga vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni.
-
Israel: Vita vijavyo kati yetu na HAMAS vitatudhoofisha kwa ndani
Jan 02, 2018 04:02Waziri wa Makazi wa Utawala Haramu wa Israel, Yoav Galant amesema kuwa uwezo wa shabaha wa makombora ya Brigedi ya Izzudeen Qassam tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, utaidhoofisha Israel kwa ndani.
-
Tehran: Israel, US hazina ufahamu juu ya taifa la Iran
Dec 31, 2017 11:23Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani na nchi nyingine zinazojifanya kutetea haki za Wairani hazina ufahamu wowote kuhusu taifa la Iran.
-
Waisraeli waandamana dhidi ya Netanyahu kwa wiki ya tano
Dec 31, 2017 11:17Maelfu ya Waisraeli wamemiminika mabarabarani kwa wiki ya tano mfululizo kushiriki maandamano ya kushinikiza kufungwa jela Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu kutokana na kashfa za ufisadi wa kifedha zinazomuandama.
-
Unduli wa Israel wa kutaka kuua Wapalestina wengi zaidi
Dec 30, 2017 23:15Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni ametaka kunyongwa raia wa Palestina kufuatia kushtadi wimbi la malalamiko ya raia hao.
-
Sheikh Maher Hamoud: Muda wa kusambaratishwa Israel umekaribia
Dec 30, 2017 11:32Sheikh Maher Hamoud, Mkuu wa Umoja wa Ulimwengu wa Maulama wa Muqawama wa nchini Lebanon amesema kuwa, muda wa kusambaratishwa utawala haramu wa Kizayuni umekaribia.
-
Israel na Marekani zaafiki mapatano ya 'kuikabili' Iran
Dec 29, 2017 04:27Imebainika kuwa, maafisa wa ngazi za juu wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel walifanya mkutano wa siri mjini Washington hivi karibuni, kujadili mikakati eti ya kuikabili na kuidhibiti Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.