Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Israel yazuia wakaguzi wa UN kuchunguza mateso katika jela zake

    Israel yazuia wakaguzi wa UN kuchunguza mateso katika jela zake

    May 05, 2016 04:10

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umekaidi matakwa ya Umoja wa Mataifa ya kuchunguzwa mateso wanayoyapata Wapalestina katika jela za utawala huo dhalimu.

  • Ban atiwa uchungu na suala la wakimbizi wa Palestina

    Ban atiwa uchungu na suala la wakimbizi wa Palestina

    May 05, 2016 00:08

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ameeleza kutiwa uchungu na suala la hatima ya wakimbizi wa Palestina wapatao milioni 5.2, ambalo halijapatiwa suluhu kwa muda mrefu.

  • Trump: Israel iendeleze ujenzi wa vitongoji Palestina

    Trump: Israel iendeleze ujenzi wa vitongoji Palestina

    May 04, 2016 09:56

    Donald Trump, mwanasiasa wa chama cha Republican anayewania kuteuliwa kugombea urais nchini Marekani kupitia chama hicho ameutaka utawala haramu wa Israel uendeleze ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Kamati ya kupambana na utesaji ya Umoja wa Mataifa kuwasaili maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kamati ya kupambana na utesaji ya Umoja wa Mataifa kuwasaili maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    May 03, 2016 23:34

    Kamati ya kupambana na utesaji ya Umoja wa Mataifa inatazamiwa kuwahoji maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na sera za utawala huo za kuwatesa wafungwa wa Kipalestina.

  • UN: Israel inaeneza uongo kuhusu Palestina

    UN: Israel inaeneza uongo kuhusu Palestina

    May 02, 2016 23:29

    Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameulaumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kueneza uongo dhidi ya Wapalestina.

  • Maandalizi ya Israel ya kulidhibiti kikamilifu eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan la Palestina inayokaliwa kwa mabavu

    Maandalizi ya Israel ya kulidhibiti kikamilifu eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan la Palestina inayokaliwa kwa mabavu

    May 02, 2016 02:54

    Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeripoti kuwa bunge la utawala huo Knesset linapanga kuptisha sheria mpya yenye lengo la kuliunganisha eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi nyengine za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Saudia kufungua ubalozi Israel

    Saudia kufungua ubalozi Israel

    Apr 27, 2016 23:31

    Saudi Arabia imesema huenda ikafungua ubalozi wake Tel Aviv iwapo utawala haramu wa Israel utakubali kusitisha mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Israel inawapa mafunzo askari wa Saudia

    Israel inawapa mafunzo askari wa Saudia

    Apr 26, 2016 09:52

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amefichua kuwa utawala haramu wa Israel unatoa mafunzo ya kijeshi kwa askari wa Saudi Arabia katika mpango wa siri wa uhusiano wa tawala hizo mbili.

  • Ripoti: Idadi ya wafungwa watoto wa Kipalestina katika jela za Israel yaongezeka

    Ripoti: Idadi ya wafungwa watoto wa Kipalestina katika jela za Israel yaongezeka

    Apr 24, 2016 03:00

    Idadi ya watoto wadogo wa Kipalestina wanaozuiliwa katika jela za kutisha za utawala wa kizayuni wa Israel imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu Oktoba mwaka uliopita wa 2015.

  • Arab League: Kuundwe mahakama maalumu ya jinai za Israel

    Arab League: Kuundwe mahakama maalumu ya jinai za Israel

    Apr 21, 2016 10:52

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetoa mwito wa kuundwa mahakama maalumu ya jinai kwa ajili ya kuwapandisha kizimbani Wazayuni kutokana na hatua yao ya kukiuka haki za Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS