-
Merkel aikosoa Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji
Apr 20, 2016 03:18Chansela wa Ujerumani amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu na kusema kuwa ujenzi huo unazuia mchakato wa amani.
-
Ban asema Israel inavuruga mpango wa amani
Apr 19, 2016 10:57Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekosoa vikali hatua ya Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Russia kuisaidia Palestina kutatua mzozo kati yake na Israel
Apr 19, 2016 03:23Rais wa Russia Vladimir Putin amesema nchi yake itasaidia juhudi za Palestina za kuupatia ufumbuzi mgogoro kati yake na utawala wa kizayuni wa Israel kwa njia ya mazungumzo.
-
Maandamano ya Siku ya Wafungwa wa Kipalestina
Apr 17, 2016 23:41Mamia ya wananchi wa Palestina jana Jumapili walifanya maandamano katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Gaza katika maadhimisho ya Siku ya Wafungwa wa Kipalestina.
-
Maandamano ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Apr 15, 2016 23:42Wapalestina wa maeneo tofauti ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wamefanya maandamano makubwa ya kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kesi 40 zaripotiwa za waenezaji itikadi za mauaji ya kimbari Rwanda
Apr 15, 2016 03:42Polisi wa Rwanda wameripoti kuwepo kesi 40 za hivi karibuni za wanaohusika na kueneza itikadi ya mauaji ya halaiki wakati wa wiki ya kuadhimisha mauaji ya halaiki iliyomalizika Jumatano iliyopita.
-
Iran yajibu tuhuma za Saudia na Utawala wa Kizayuni
Apr 15, 2016 03:14Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa jibu kali kwa matamshi yasiyo na msingi ya mabalozi wa Utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudia dhidi ya Iran.
-
Israel inashirikiana na waasi kufanya magendo ya dhahabu Sudan
Apr 14, 2016 09:48Imearifiwa kuwa utawala wa kizayuni wa Israel unashirikiana na makundi ya waasi nchini Sudan kufanya magendo ya dhahabu na madini ya urani katika jimbo la Kordofan Kusini.
-
Israel yaktaa kufichua nafasi yake katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Apr 13, 2016 02:55Mahakama ya Juu ya utawala wa kizayuni wa Israel imepitisha kuwa, nyaraka za mauzo ya silaha ya utawala huo haramu kwa serikali ya Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari katika nchi hiyo ya Kiafrika mwaka 1994, hazitawekwa wazi kwa wananchi na zitaendelea kufichwa na kubakia siri kuu ya utawala huo.
-
Sanders akosoa mashambulizi ya Israel dhidi ya watu wa Gaza
Apr 10, 2016 23:56Mgombea tiketi ya chama cha Democratic kwa ajili ya kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais nchini Marekani, Bernie Sanders amekosoa vikali mashambulizi ya mwaka 2014 ya utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.