-
Jolani azidi kujikomba kwa Wazayuni, adai Syria, Israel zina maadui wa pamoja!
Jun 01, 2025 03:38Abu Mohammed al-Jolani, Mkuu wa utawala wa Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) unaoongoza nchini Syria ameliambia gazeti linalohudumia jumuiya ya Wayahudi huko Damascus kwamba, "ukweli ni kwamba, tuna maadui wa pamoja - na tunaweza kuwa na jukumu kubwa katika usalama wa kikanda."
-
Barcelona yavunja uhusiano na Israel kutokana na mauaji ya Gaza
May 31, 2025 06:50Baraza la Jiji la Barcelona limetangaza kuvunja uhusiano wa kitaasisi na utawala wa Israel kutokana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Je, uhusiano wa serikali ya Julani na utawala wa Kizayuni unaelekea wapi?
May 31, 2025 00:10Vyanzo vya habari vimetangaza kuwa ujumbe unaohusiana na serikali ya mpito ya Syria umefanya mazungumzo ya siri na viongozi wa utawala haramu wa Israel.
-
Israel yamjibu Macron: Kutambuliwa Palestina kutasalia kwenye karatasi tu
May 30, 2025 22:52Waziri wa Vita wa Israel, Israel Katz amemsuta na kumkejeli Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ambaye alisema mapema jana kwamba, kutambuliwa kwa taifa la Palestina, kwa masharti, ni "wajibu wa kimaadili."
-
Ben Gvir alitaka jeshi la Israel litumie 'nguvu kamili' Gaza
May 30, 2025 22:52Waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel mwenye misimamo ya kufurutu ada, Itamar Ben Gvir ametoa wito wa kutumiwa "nguvu kamili" huko Gaza, baada ya madai ya uongo kwamba Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga pendekezo jipya la Marekani kuhusu usitishaji vita.
-
Je, utawala wa Trump unataka kubadilisha kisiasa mazingira ya vyuo vikuu vya Marekani?
May 29, 2025 23:35Kutokana na hali ya mvutano inayoendelea kati ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani na Chuo Kikuu cha Harvard, serikali imetaka kufutwa kwa kandarasi zote za kifedha na chuo hicho.
-
Je, kwa nini Ujerumani, muungaji mkono mkubwa zaidi wa Ulaya kwa utawala wa Kizayuni, sasa inaonekana kuukosoa utawala huo?
May 29, 2025 02:48Friedrich Mertz, Kansela wa Ujerumani alibadilisha sauti yake kuhusiana na utawala wa Kizayuni mnamo Jumanne, Mei 27 na kusema: "Mashambulio makubwa ya kijeshi ya Waisraeli katika Ukanda wa Gaza hayana mantiki tena kwangu."
-
Onyo la Trump kwa Netanyahu baada ya kutishia kuishambulia Iran
May 29, 2025 02:47Rais wa Marekani, Donald Trump ameripotiwa kuvutana na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika mazungumzo yao ya simu, baada ya nduli huyo wa vita wa utawala wa Kizayuni kutishia kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, na hivyo kuhatarisha mazungumzo ya kidiplomasia yanayoendelea kati ya Tehran na Washington.
-
Balozi wa Israel atimuliwa na waungaji mkono Palestina, Senegal
May 29, 2025 02:39Balozi wa Israel nchini Senegal, Yuval Waks, alilazimika kuondoka katika Chuo Kikuu cha Dakar baada ya wanafunzi kupinga uwepo wake na kupiga nara za kuunga mkono Palestina chuoni hapa.
-
Balozi wa Colombia: Dunia isifumbie macho mateso ya watu wa Gaza
May 27, 2025 03:08Jorge Ivan Ospina, balozi mpya wa Colombia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amesema "ulimwengu haupaswi kuwafumbia macho" raia wa Palestina wanaoteseka huko Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu.