Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • IRGC: Israel isubiri jibu kali la kuumiza kwa kumuua kigaidi Haniyah

    IRGC: Israel isubiri jibu kali la kuumiza kwa kumuua kigaidi Haniyah

    Jul 31, 2024 07:27

    Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka ujiandae kwa matokeo mabaya na majibu makali ya kuumiza kwa kumuua kigaidi Ismail Haniyah, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS).

  • Kushadidi mvutano baina ya Uturuki na utawala ghasibu wa Israel

    Kushadidi mvutano baina ya Uturuki na utawala ghasibu wa Israel

    Jul 30, 2024 23:34

    Matamshi ya rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kuhusu uwezekano wa kuchukua hatua dhidi ya Israel sawa na hatua zilizochukuliwa Karabakh na Libya yameongeza mvutano wa maneno kati ya Ankara na Tel Aviv.

  • Mratibu wa UN ataka kuheshimiwa sheria baada ya Israel kushambulia hifadhi ya maji huko Rafah

    Mratibu wa UN ataka kuheshimiwa sheria baada ya Israel kushambulia hifadhi ya maji huko Rafah

    Jul 30, 2024 04:03

    Mratibu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Gaza jana alisema kuwa sheria za kimataifa zinapasa kufuatwa baada ya Israel kushambulia hifadhi ya maji ya kunywa huko Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Tovuti ya Uingereza: Utawala wa Marekani ni kipofu kiasi kwamba unamhami mtu kama Netanyahu

    Tovuti ya Uingereza: Utawala wa Marekani ni kipofu kiasi kwamba unamhami mtu kama Netanyahu

    Jul 29, 2024 22:59

    "Kuporomoka kwa dola kunakuwa jambo lisiloepukika mara tu watawala wake wanapopoteza kabisa hisia za jinsi walivyokuwa wapuuzi na wa kutisha", hivi ndivyo ilivyoandika tovuti ya Uingereza ya Middle East Eye ikizungumzia fedheha kubwa ya Congress ya Marekani ya kumkaribisha na kumpigia makofi nduli na Adolf Hitler wa zama hizi, Benjamin Netanyahu, anayeendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.

  • Lebanon: Hizbullah haijahusika na shambulio la roketi Golan

    Lebanon: Hizbullah haijahusika na shambulio la roketi Golan

    Jul 28, 2024 03:24

    Viongozi mbali mbali wa Lebanon wamekanusha vikali madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel na vyombo vya habari vya Magharibi eti Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imehusika na shambulio la roketi katika Miinuko ya Golan.

  • Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza; muendelezo wa uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni

    Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza; muendelezo wa uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni

    Jul 27, 2024 22:59

    Suala la hali mbaya ya Ukanda wa Gaza siku ta Ijumaa kwa mara nyingine tena liliwekwa katika ajenda ya utendaji ya kikao cha nchi 15 wanachama wa Baraza la Usalama la UN sambamba na Bejamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kushiriki katika kikao hicho huko Marekani.

  • Maandamano dhidi ya utawala katili wa Israel yanaendelea sambamba na kuanza Michezo ya Olimpiki ya Paris

    Maandamano dhidi ya utawala katili wa Israel yanaendelea sambamba na kuanza Michezo ya Olimpiki ya Paris

    Jul 27, 2024 08:00

    Katika mkesha wa kuanza Michezo ya Olimpiki ya mwaka huu wa 2024 nchini Ufaransa, upinzani wa kimataifa dhidi ya ushiriki wa timu ya utawala wa Kizayuni katika michezo hiyo umeongezeka ambapo kampeni ya "Hakuna Olimpiki, Hakuna Mauaji" kwa ajili ya kuiondoa Israel katika mashindano hayo ya kimataifa ingali inaendelea.

  • Pezeshkian awahutubu wabunge wa US: Damu ya wasio na hatia haitaacha katu kumwandama dhalimu

    Pezeshkian awahutubu wabunge wa US: Damu ya wasio na hatia haitaacha katu kumwandama dhalimu

    Jul 26, 2024 09:31

    Rais Mteule wa Iran Masoud Pezeshkian ametoa mjibizo kwa kitendo cha wabunge wa Marekani cha kumshangilia waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni alipohutubia bunge la nchi hiyo na kusisitiza kwamba: "damu ya wasio na hatia haitaacha katu kumwandama dhalimu."

  • Amnesty International: Marekani mshirika wa Israel katika mauaji ya kimbari Palestina

    Amnesty International: Marekani mshirika wa Israel katika mauaji ya kimbari Palestina

    Jul 25, 2024 03:41

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International imeonya Marekani kuhusu kuupa silaha utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza na kutangaza kuwa, Washington ni mshirika wa utawala huo katika mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.

  • Maelfu waandamana Washington kupinga ziara ya Netanyahu ; wataka kusitishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

    Maelfu waandamana Washington kupinga ziara ya Netanyahu ; wataka kusitishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

    Jul 24, 2024 23:47

    Maelfu ya watu wakiwemo Wayahudi wa Kimarekani jana waliandamana katika mji wa Washington wakati Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Israel alipokuwa akihutubua katika kikao cha pamoja cha Bunge la Kongresi ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS