-
Kiongozi wa upinzani wa Israel ataka kuuzuliwa Netanyahu
Jun 16, 2024 04:07Kinara wa upinzani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema wakati umefika wa kuiangusha serikali ya utawala huo inayoongozwa na Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu.
-
Kambi ya kijeshi ya Israel yateketea kwa moto baada ya kushambuliwa na HAMAS
Jun 15, 2024 23:12Duru za habari zimetangaza kuwa, kambi moja ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni karibu na Ukanda wa Ghaza imeteketea kwa moto baada ya kushambuliwa na wanamapambano wa Izzuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
HAMAS: Blinken amevuruga juhudi za usitishaji vita Gaza
Jun 13, 2024 04:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken anabeba dhima ya kutofikiwa makubaliano tarajiwa ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah yainyeshea Israel kwa mvua ya maroketi baada ya kamanda kuuawa
Jun 12, 2024 22:53Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mamia ya maroketi ngome na maeneo ya walowezi wa Kizayuni huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Haniya: HAMAS haitasalimu amri, itaendeleza muqawama
Jun 09, 2024 23:53Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kundi hilo la muqawama katu halitasalimu amri, bali litaendeleza mapambano yake kwa nguvu zote.
-
Malaysia yaziasa nchi za D-8 zikate uhusiano wa kiuchumi na Israel
Jun 09, 2024 23:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Malaysia amezitaka nchi wanachama wa kundi la D-8 kuvunja uhusiano wao wa kiuchumi na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Baraza la Wawakilishi la Marekani lakabiliana na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC
Jun 06, 2024 01:31Kufuatia ombi la mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) la kutoa kibali cha kukamatwa viongozi wa utawala haramu wa Israel, Baraza la Wawakilishi la Marekani mnamo Jumanne, Juni 4, liliidhinisha mpango wa kuiwekea vikwazo mahakama hiyo ikiwa ni katika kuitetea Tel Aviv kwa hali na mali.
-
IRGC yaiambia Israel: Subirini jibu letu kwa kumwaga damu za wasio na hatia
Jun 06, 2024 00:53Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametahadharisha kuwa, Israel inapasa kusubiri jibu la Iran kwa kumuua shahidi mmoja wa washauri wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu katika uvamizi wa utawala huo wa Kizayuni katika mji wa Aleppo (Halab) huko kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Maldives kuwapiga marufuku Waisraeli kuingia nchini humo
Jun 03, 2024 07:59Maldives imetangaza kuwa itawapiga marufuku wenye paspoti za utawala haramu wa Israel kuingia katika visiwa hivyo vinavyopatikana katika Bahari ya Hindi.
-
Makumi wauawa shahidi Gaza katika hujuma za anga za Israel
Jun 03, 2024 07:58Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimefanya mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa ya Ukanda wa Gaza zikiwemo kambi za wakimbizi na kuua shahidi makumi ya Wapalestina.