-
Israel yaendelea kushambulia hospitali na kambi za wakimbizi Gaza
Nov 22, 2023 23:37Kwa akali Wapalestina 100 waliuawa shahidi jana Jumatano na usiku wa kuamkia jana katika mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Ukosolewaji mkali wa undumakuwili wa Magharibi kuhusu kadhia ya Israel na Wapalestina
Nov 21, 2023 03:42Waziri Mkuu wa Ireland, Leo Varadkar amekosoa vikali undumilakuwili wa nchi za Magharibi na kusema kuwa Umoja wa Ulaya na madola ya Magharibi yanashughulikia masuala yanayohusiana na Israel na Palestina kwa undumilakuwili wa wazi.
-
Mfalme wa Jordan ataka kusitishwa vita mara moja Gaza
Nov 20, 2023 00:28Mfalme Abdullah II wa Jordan ameitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua za dharura za usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, ili kuzuia kutokea janga kubwa la kibinadamu katika eneo hilo la Wapalestina lililozingirwa.
-
Jeshi la Yemen: Tutalenga na kuteka meli zote za Israel katika Bahari Nyekundu
Nov 19, 2023 23:58Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya nchi hiyo vitashambulia na kuteka meli zote zinazomilikiwa au kusimamiwa na kampuni za utawala wa Kizayuni wa Israel, ikiwa ni hatua kuliunga mkono taifa la Palestina, wakati huu ambapo Wazayuni wanaendelea kumwaga damu za Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Ombi kwa ICC kuchunguza jinai za kivita za Israel huko Gaza
Nov 19, 2023 23:57Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai za Kivita ya The Hague ICC ametangaza habari ya kupokea maombi ya nchi 5 kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Ofisi ya Iran UN: Muundo wa sasa wa Baraza la Usalama hauakisi hali halisi ya jamii ya kimataifa
Nov 18, 2023 09:05Afisa wa kitengo cha habari wa ofisi ya mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: Muundo wa sasa wa Baraza la Usalama la umoja wa huo hauakisi hali halisi ya jamii ya kimataifa.
-
Brigedia Jenerali Qaani: Israel ni dhaifu kuliko utando wa buibui
Nov 18, 2023 00:20Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imefichua kuwa utawala haramu wa Israel ni dhaifu kuliko hata nyumba ya buibui.
-
WSJ: Rais Biden anakabiliwa na uasi ndani ya serikali kwa sababu ya himaya yake kwa Israel
Nov 16, 2023 10:01Jarida la Wall Street Journal limeripoti kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden, anakabiliwa na uasi kutoka kwa baadhi ya taasisi za serikali yake zinazopinga uungaji mkono wake kwa Israel katika vita vyake dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Wake wa wakuu wa nchi watoa wito wa kusitishwa uhalifu wa Israel huko Gaza
Nov 16, 2023 07:49Wake wa wakuu wa nchi na serikali wamelaani mashambulizi ya utawala haramu wa Israel yanayolenga raia, haswa watoto na wanawake, katika vita vya Gaza. Tamko la wake wa maraisi na viongozi wa nchi mbalimbali duniani limetolewa katika mkutano ulioandaliwa na Emine Erdoğan, mke wa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, huko Istanbul jana, Jumatano.
-
Belize yasimamisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel
Nov 16, 2023 02:59Serikali ya Belize imetangaza kusimamisha uhusiano wake wa kidiplomasia na Israel kutokana na hatua ya utawala huo wa Kizayuni kukataa kusitisha vita; huku idadi ya mashahidi wa mashambulizi ya utawala huo pandikizi huko Gaza tokea Oktoba 7 hadi sasa ikikaribia watu 12,000.