-
Ripoti: Kinara wa upinzani Congo alichukua uraia wa Italia
Apr 04, 2018 10:29Ripoti kutoka Italia zimefichua kuwa, kinara wa kambi ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi alichukua uraia wa Italia kuanzia mwaka 2000 hadi 2017.
-
Hatua za chuki dhidi ya Waislamu zazidi kushika kasi Italia, Waislamu wajawa na khofu
Mar 29, 2018 00:04Duru za habari nchini Italia zimeripoti juu ya ongezeko la mashambulizi yanayosukumwa na chuki dhidi ya dini ya Uislamu nchini humo.
-
Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika waandamana Italia kupinga ubaguzi wa rangi nchini humo
Mar 11, 2018 03:47Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika pamoja na raia wengi wa Italia wameandamana katika mji wa Florence kaskazini mwa Italia kupinga vitendo vya ubaguzi wa rangi nchini humo.
-
Wahajiri wa Kiafrika waandamana Italia kupinga mauaji ya Mwafrika
Mar 07, 2018 01:27Wahajiri wa Kiafrika wamefanya maandamano katika mji wa Florence nchini Italia wakipiga nara za kulaani ubaguzi wa rangi na kupinga mauaji ya mhajiri wa Kiafrika yaliyofanywa na raia wa Italia.
-
Niger yapinga kutumwa wanajeshi wa Italia nchini humo
Jan 27, 2018 09:22Katika hali ambayo Italia imetangaza habari ya kutumwa vikosi vyake vya kijeshi huko Niger kufuatia ombi la serikali ya Niamey, viongozi wa nchi hiyo ya Kiafrika wametangaza kuwa wanapinga kuweko wanajeshi wa Italia katika ardhi ya nchi hiyo na kwamba hawajawahi kuzungumzia suala hilo na wenzao wa Roma.
-
Italia yataka kusaidiwa nchi za Kiafrika ili zitatue tatizo la uhajiri
Jan 25, 2018 03:22Waziri Mkuu wa Italia amesisitiza juu ya udharura wa kusaidiwa nchi za Kiafrika kwa ajili ya kulipatia ufumbuzi tatizo la uhajiri linalozikabili nchi za bara hilo.
-
Italia yaidhinisha kutuma wanajeshi Niger, na vikosi zaidi kaskazini mwa Afrika
Jan 18, 2018 04:25Bunge la Italia jana liliidhinisha kuongezwa idadi ya wanajeshi wake huko Libya na kutumwa wanajeshi wa nchi hiyo hadi 470 huko Niger kwa ajili ya kukomesha harakati za wahajiri na magendo ya binadamu kuelekea Ulaya.
-
Wahajiri wengine 1400 waokolewa katika maji ya pwani ya Italia na Uhispania
Jan 17, 2018 04:29Kikosi cha gadi ya pwani ya Italia kimetangaza kuokoa wahajiri 1400 katika maji ya bahari ya Mediterrania.
-
Gadi ya Pwani nchini Italia yaokoa mamia ya wahajiri katika bahari ya Mediterranea
Dec 27, 2017 03:53Askari wa Gadi ya Pwani ya Italia wametangaza habari ya kuwaokoa wahajiri 250 katika bahari ya Mediterranea.
-
Wanajeshi wa Italia walio Iraq kupelekwa Niger
Dec 25, 2017 03:21Waziri Mkuu wa Italia Paolo Gentilon amesema atapendekeza katika bunge la nchi hiyo kuwa baadhi ya wanajeshi wa Italia walio Iraq wapelekwe Niger kupambana na biashara haramu ya usafirishaji binadamu na ugaidi.