-
Nguesso kuwania tena urais baada ya kuitawala Jamhuri ya Kongo kwa zaidi ya miaka 40
Feb 06, 2026 06:39Rais wa Jamhuri ya Kongo (Brazzaville), Denis Sassou Nguesso, ametangaza kwamba atagombea tena urais wa nchi hiyo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao wa Machi, akiwa na lengo la kusalia madarakani kwa zaidi ya miongo minne huku akiwa na umri wa miaka 82.
-
Mapigano makali yaibuka tena kati ya jeshi la Kongo na M23
Aug 12, 2025 23:00Mapigano makali yameibuka baina ya wanajeshi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na Kundi la waasi wa M23, licha ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyotiwa saini mwezi uliopita wa Julai.
-
Asasi za kiraia, wapinzani wataka kuachiwa huru kinara wa upinzani Congo Brazzaville
May 17, 2025 06:58Vyama vya siasa, mashirika ya kutetea haki za binadamu na asasi za kiraia zimeedelea kushinikiza kuachiwa huru kinara wa upinzani nchini Congo Brazzaville, anayedaiwa kutekwa nyara hivi karibuni.
-
M23 wadai kuuteka mji wenye madini muhimu wa Rubaya, mashariki ya DRC
May 03, 2024 23:02Kundi la waasi la M23 ambalo linadaiwa kuwa na uhusiano na Rwanda limetangaza kwamba, limeuteka mji wa Rubaya ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambao ni maarufu kwa madini muhimu yanayotumika katika utengenezaji wa simu za kisasa za mkononi.
-
Askari wanne wauawa DRC na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Mai-Mai
Aug 13, 2022 03:46Vijana wanaoaminika kuwa wameungana na wanamgambo wa kundi la Mai-Mai wamewaua maafisa wa polisi wanne na kuwajeruhi wengine watatu, kwenye kituo cha ukaguzi cha Kangote, katika mji wa Butembo, mkoani Kivu Kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
DRC: Jeshi la Uganda ladai kutwaa moja ya kambi kuu za ADF + SAUTI
Dec 29, 2021 08:43Jeshi la Uganda linasema limefanikiwa kudhibiti kambi kubwa ya waasi wa ADF, inayofahamika kama Kambi Ya Yua iliyokuwa inawahifadhi waasi zaidi ya 600 na familia zao, katika operesheni zao inazoshirikiana na wenzao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mgombea wa urais Congo Brazaville aaga dunia kwa Covid-19
Mar 22, 2021 06:32Mgombea wa urais aliyetazamiwa kumpa ushindani mkubwa Rais Denis Sassou Nguesso katika uchaguzi wa rais wa jana katika Jamhuri ya Congo Brazaville ameaga dunia kwa ugonjwa wa Covid-19.
-
WHO yaanza kutoa chanjo ya Ebola DRC
Feb 19, 2021 23:40Shirika la Afya Duniani WHO limeanza zoezi la kutoa chanjo ya Ebola ili kukabiliana na mlipuko mpya wa ugonjwa huo nchini Guinea na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Wazayuni wafanya ufisadi mkubwa nchini Cameroon + Sauti
Jun 26, 2020 12:19Rais Paul Biya wa Cameruni ameganda madararakani miaka nenda miaka rudi kwa msaada wa mamluki wa Kiyahudi ambao sasa wanalaumiwa kwa kuua watu wengi na pia kwa kupora mali ya uma nchini humo. Hayo ni matokeo ya uchunguzi wa waandishi wa habari wawili chini ya taasisi ya kupiga vita rushwa nchini humo. Mosi Mwasi na maelezo zaidi kutoka Brazaville
-
Wahalifu wanaotafuta damu ya watoto 1000 kufanya kafara Gabon wamekuwa janga + Sauti
Jan 27, 2020 23:00Wazazi katika mji mkuu wa Gabon, Libreville, Jumatatu, Januari 27, 2020 hawakuwaruhusu watoto wao kwenda skuli licha ya serikali kuweka ulinzi mkali katika skuli zote za mji huo mkuu. Wazazi hao wanasema kuwa hatua hiyo pekee haiwezi kuwazuia wahalifu wanaotafuta damu za watoto elfu moja kama kafara ya kuwabakisha madarakani. Mossi Mwasi na maelezo zaidi kutoka Brazzaville.