-
UN: Zaidi ya 200 wameuawa katika mashambulio ya wabeba silaha DRC
Mar 20, 2021 06:06Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 200 wameuawa katika mashambulio ya magenge ya wabeba silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tokea Januari mwaka huu hadi sasa.
-
Afrika CDC: Ebola imeua watu 13 Kongo DR na Guinea
Mar 07, 2021 04:05Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika CDC kimesema idadi ya watu walioaga dunia kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Guinea imeongezeka na kufikia watu 13.
-
Jeshi la DRC laua wanamgambo 16 kaskazini mwa nchi
Mar 01, 2021 23:45Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuua wanamgambo 16 katika makabiliano makali baina ya pande mbili hizo huko kaskazini mashariki mwa nchi.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Kongo
Feb 28, 2021 04:41Umoja wa Mataifa umetoa ripoti na kutahadharisha kuhusu kuendelea mapigano ya silaha na kuongezeka vitendo vya utumiaji mabavu vinavyofanywa na wanamgambo wanaobeba silaha na hivyo kusababisha mamilioni ya watu kuwa wakimbizi.
-
Mripuko mpya wa tauni waua watu 31 Kongo DR
Feb 20, 2021 09:56Mripuko mpya wa ugonjwa angamizi wa tauni umeibuka kaskazini mashariki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo hadi sasa watu zaidi ya 30 wanaripotiwa kupoteza maisha.
-
WHO yaanza kutoa chanjo ya Ebola DRC
Feb 19, 2021 23:40Shirika la Afya Duniani WHO limeanza zoezi la kutoa chanjo ya Ebola ili kukabiliana na mlipuko mpya wa ugonjwa huo nchini Guinea na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Watu zaidi ya 60 wapoteza maisha katika ajali ya boti DRC
Feb 16, 2021 04:25Watu wasiopungua 60 wamefariki dunia kufuatia ajali ya boti magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kesi ya tatu ya Ebola yathibitishwa DRC huku watu 200 wakifuatiliwa
Feb 13, 2021 05:16Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kesi ya tatu ya ugonjwa wa Ebola katika mji wa Butembo jimboni Kivu Kaskazini, eneo ambalo lilikuwa kitovu cha mlipuko wa 10 wa ugonjwa huo uliotangazwa kumalizika mwezi Juni mwaka jana.
-
Waziri Mkuu wa Kongo DR atangaza kujiuzulu na serikali yake
Jan 30, 2021 04:25Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Sylvestre Ilunga Ilunkamba ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo Ijumaa hii, siku moja baada ya Bunge la nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.
-
Katibu Mkuu wa UN alaani vikali mauaji dhidi ya raia nchini DRC
Jan 07, 2021 08:34Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesisitiza kusitishwa uhasama na makundi yote yenye silaha kuweka silaha hizo chini na kujiunga katika mchakato wa amani, baada ya raia zaidi ya 20 kuuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ( DRC).