Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Maelfu ya watu wakumbwa na tatizo la kuhara baada ya maji ya mto kuchafuka, Kongo

    Maelfu ya watu wakumbwa na tatizo la kuhara baada ya maji ya mto kuchafuka, Kongo

    Aug 31, 2021 22:22

    Maafisa wa afya katikka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameripoti kuwa, maelfu ya watu wamepatwa na tatizo la kuhara katika jimbo la Kasai katikati mwa nchi hiyo baada ya raia kutumia maji machafu na samaki waliokufa kutoka katika ziwa ambalo maji yake yamechafuka.

  • Ripoti: Raia 450 wameuawa DRC kati ya Januari na Julai 2021

    Ripoti: Raia 450 wameuawa DRC kati ya Januari na Julai 2021

    Aug 24, 2021 03:25

    Shirika moja la kiraia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limesema mamia ya raia wameuawa ndani ya miezi saba ya kwanza ya mwaka huu 2021.

  • Watu kadhaa wauawa na waasi wa ADF mjini Beni, Kongo DR

    Watu kadhaa wauawa na waasi wa ADF mjini Beni, Kongo DR

    Aug 12, 2021 03:38

    Watu wasiopungua watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulizi la waasi wa kundi la ADF katika eneo la Beni katika mkoa wa Kivu Kaskazini huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Makumi wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Kongo DR

    Makumi wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Kongo DR

    Aug 02, 2021 22:46

    Makumi ya watu wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea huko magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Wanachuo waandamana Kongo kupinga kuuliwa mwenzao kwa kutovaa barakoa

    Wanachuo waandamana Kongo kupinga kuuliwa mwenzao kwa kutovaa barakoa

    Jul 27, 2021 03:17

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu mjini Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameendelea kuandamana kulalamikia kitendo cha polisi cha kumuua mwanachuo mwenzao kwa madai ya kutovaa barakoa ya kujikinga na maambukizi ya corona.

  • Mafuriko yasababisha maafa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Mafuriko yasababisha maafa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Jul 17, 2021 07:52

    Mafuriko yaliyotokea kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 16.

  • Congo DR yaweka kafyu katika mji wa Beni baada ya milipuko ya mabomu kanisani

    Congo DR yaweka kafyu katika mji wa Beni baada ya milipuko ya mabomu kanisani

    Jun 28, 2021 06:17

    Wakazi wa mji wa Beni nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo Jumatatu wamekumbana na zuio la kafyu katika mji huo baada ya milipuko mitatu ya mabomu kutokea katika mji huo. Maafisa wametahadharisha kuwa, wana taarifa kwamba milipuko mingine zaidi inaratibiwa.

  • Mamia ya wakimbizi wa Kongo DR wamiminika Uganda

    Mamia ya wakimbizi wa Kongo DR wamiminika Uganda

    Jun 16, 2021 21:59

    Wakimbizi karibu elfu moja raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasili nchini Uganda katika kipindi cha siku chache zilizopita.

  • Kenya yatuma wanajeshi wake DRC kujiunga na MONUSCO

    Kenya yatuma wanajeshi wake DRC kujiunga na MONUSCO

    Jun 16, 2021 07:54

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limetuma askari wake wa Kikosi cha Radiamali ya Haraka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwenda kusaidia jitihada za kupambana na magenge ya kigaidi na makundi yanayobeba silaha.

  • Rais wa DRC: Hospitali Kinshasa zimefurika wagonjwa wa Corona

    Rais wa DRC: Hospitali Kinshasa zimefurika wagonjwa wa Corona

    Jun 13, 2021 21:53

    Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametahadharisha kuwa, nchi hiyo huenda ikakabiliwa na maafa makubwa katika wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya Corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS