-
Waasi waua watu 12 mashariki mwa DRC
Aug 17, 2020 23:01Watu 12 wameuwa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya kushambuliwa na waasi katika mji wa Mwenda mkoani Kivu Kaskazini na Murubia huko Ituri.
-
Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula
Aug 15, 2020 02:19Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umetangaza kuwa mapigano na janga la maambukizi ya Covid- 19 vimepelekea mamilioni ya wananchi wa Kongo kukabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula.
-
Mashirika ya petroli DRC yasimamisha mgomo baada ya mapatano
Aug 14, 2020 03:32Mashirika yanayouza mafuta ya petroli katika maeneo ya kusini na mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamesitisha mgomo wa siku kadhaa, baada ya serikali kuafiki kuongeza bei ya bidhaa hiyo.
-
Majaji DRC wapinga sera za mageuzi za Rais Tshisekedi
Aug 05, 2020 06:43Majaji wawili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamepinga mpango wa rais wa nchi hiyo Felix Tshisekedi wa kufanya mageuzi katika mfumo wa mahakama na kuhamishiwa mamlaka katika mahakama ya juu.
-
Rais wa zamani wa CAR anayesakwa kwa uhalifu asema atagombea urais
Jul 26, 2020 08:55Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) Francois Bozize ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba licha ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Mataifa na kutolewa waranti dhidi yake wa kumtia nguvuni kwa tuhuma za kutenda jinai dhidi ya binadamu.
-
Miili ya watu 40 waliouliwa mapiganoni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yapatikana
Jul 25, 2020 22:49Duru za habari za ndani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimeripoti kuwa miili ya watu 40 imegunduliwa nchini baada ya kujiri mapigano kati ya makundi mawili yenye silaha.
-
Binti wa hayati Patrice Lumumba, ataka mabaki ya mwili wa baba yake yarejeshwe DRC+Sauti
Jul 22, 2020 14:13Juliana Amato Lumumba, binti wa waziri mkuu wa zamani wa Kongo hayati Patrice Emery Lumumba, amemwandikia barua mfalme Philippe wa Ubelgiji ya kumtaka ajitwishe mzigo wa kurejesha mabaki ya mwili wa hayati baba yake
-
Spika wa zamani wa Gabon aanzisha kampeni ya kupinga kuhalalishwa ngono za jinsia moja + Sauti
Jul 13, 2020 22:06Spika Mstaafu wa Bunge la Gabon ameanzisha kampeni za kupinga sheria iliyopasishwa bungeni hivi karibuni ya kuhalalisha vitendo haramu vya kulawitiana na ngono za watu wa jinsia moja nchni humo. Amesema kuwa vitendo hivyo ni kinyume na mila na desturi za watu wa Gabon. Maelezo zaidi anayo mwandishi wetu, Mossi Mwasi kutoka Brazzaville.
-
Waziri wa Sheria DRC Celestin Tunda ajiuzulu baada ya kuzozona na rais
Jul 12, 2020 09:00Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Celestin Tunda amejiuzulu baada ya kuzozona na rais wa nchi hiyo kuhusu sheria zilizopendekezwa ambazo zitawapa wanasiasa udhibiti zaidi wa mashtaka ya jinai.
-
Watu 4 wauawa katika maandamano ya ghasia Kongo DR
Jul 10, 2020 02:58Watu wanne wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika maandamano ya kupinga uteuzi wa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.