-
DRC inasherehekea miaka 60 ya uhuru hali ikiwa bado mbaya + Sauti
Jul 01, 2020 03:15Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inasherehekea miaka 60 wa uhuru wake kutoka kwa mkonoloji wa Ulaya, Ubelgiji, huku hali ya amani na uchumi ikiwa bado ni mbaya sawa kabisa na ilivyokuwa muda mchache tu baada ya kujipatia uhuru huo. Mossi Mwassi na maelezo zaidi kutoka Brazzaville.
-
UN: Ghasia zasababisha watu milioni moja kuwa wakimbizi DRC ndani ya miezi 6
Jun 30, 2020 21:56Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limesema ghasia, machafuko na mapigano huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamepelekea watu zaidi ya milioni moja kufurushwa kutoka makwao katika kipindi cha miezi sita iliyopita.
-
Mfalme wa Ubelgiji aiangukia miguuni DRC, aiomba radhi kwa ukoloni
Jun 30, 2020 06:40Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameiomba radhi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na jinai ambazo nchi hiyo ya Ulaya iliwafanyia Wakongomani kwa muda wa miaka 75 katika kipindi cha ukoloni.
-
Waziri Mkuu wa Kongo DR atishia kujiuzulu baada ya waziri wa sheria kuwekwa kizuizini kwa muda
Jun 28, 2020 11:29Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Sylvestre Ilunga amelalamikia kuwekwa kizuizini kwa muda waziri wa sheria wa serikali ya mseto ya nchi hiyo na kueleza kwamba anaweza kujiuzulu huku akimtaka rais ahakikishe mawaziri wa serikali wanakuwa na kinga ya kisheria.
-
Magaidi wa ADF waua raia 19 mashariki mwa Kongo DR
Jun 22, 2020 07:40Watu 19 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti ya wanamgambo wa ADF huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Nchi kadhaa zatuhumiwa kutuma silaha Congo DR, nyingine zinatumwa kwa waasi
Jun 19, 2020 02:00Umoja wa Mataifa umezituhumu baadhi ya nchi kwamba zinatuma silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bila ya kuutaarifu umoja huo.
-
DRC yaanzisha uchunguzi baada ya jaji katika kesi ya ufisadi kuuawa
Jun 17, 2020 06:58Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetangaza kuanzisha uchunguzi baada ya jaji Raphael Yanyi Ovungu kuuawa kwa kupigwa kichwani.
-
Mlipuko mpya wa Ebola waua watu 11 Kongo DR
Jun 15, 2020 11:12Huku Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ikiendelea kukabiliana na janga la sasa la virusi vya corona, mlipuko mpya wa virusi vya Ebola umeripotiwa katika mkoa wa magharibi mwa nchi wa Equateur.
-
Wacongomani wataka sanamu la Leopold II na nembo zote za zama za ukoloni ziharibiwe
Jun 13, 2020 22:59Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wametaka nembo zote za kikoloni zikusanywe na kuondolewa nchini humo.
-
UNHCR: Wakimbizi DRC wanakabiliwa na hatari ya COVID-19, vita, ukosefu wa misaada
Jun 10, 2020 00:02Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema wakati janga la virusi vya corona au COVID-19 na vita vikiendelea kushika kasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wakimbizi wa ndani wanakabiliwa na hatari kubwa kwa Maisha yao kutokana na ukosefu wa misaada ya kibinadamu.