-
Mwili wa Etienne Tshisekedi Kufika DRC miaka miwili baada ya kifo chake
May 30, 2019 07:54Mwili wa aliyewahi kuwa waziri mkuu na kiongozi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Etienne Tshisekedi, umeondoka nchini Ubelgiji na kuelekea nyumbani zaidi ya miaka miwili baada ya kifo chake.
-
Russia kutuma wataalamu wa kijeshi nchini Kongo DR
May 28, 2019 22:01Serikali ya Russia imetangaza kuwa imeazimia kutuma wataalamu wake wa kijeshi huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kuimarisha uwepo wake wa kijeshi barani Afrika.
-
Mamia watoweka baada ya boti kuzama magharibi mwa DRC
May 27, 2019 03:07Mamia ya watu hawajulikani waliko baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Mai-Ndombe magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
UN yamteua afisa kupambana na Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
May 23, 2019 06:47Umoja wa Mataifa umemteuwa Mratibu wa Hatua za Dharura za Kukabiliana na Maradhi ya Ebola ambaye atasaidia kuimarisha jitihada za kukomesha kuenea maradhi ya Ebola yaliyodumu kwa miezi kumi sasa huko Kongo DRC na kuua watu zaidi ya 1,200.
-
Kiongozi wa upinzani Kongo arejea nyumbani baada ya kuwa uhamishoni kwa miaka 3
May 21, 2019 00:17Moise Katumbi jana Jumatatu alirejea nchini baada ya kukaa uhamishoni kwa miaka mitatu. Maelfu ya wafuasi wa Katumbi walimiminika katika uwanja wa ndege wa Lubumbashi mkoani Katanga kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kumlaki.
-
Moise Katumbi kurejea DRC baada ya kufutiwa mashitaka
May 07, 2019 02:11Moise Katumbi, mwanasiasa wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye kwa sasa yuko uhamishoni nchini Ubelgiji, anatazamiwa kurejea nyumbani katika kipindi cha wiki mbili zijazo, baada ya Waendesha Mashitaka wa Serikali kufuta uchunguzi wa shitaka la jinai dhidi yake.
-
CAFOMI: Wahamiaji haramu kutoka DRC yumkini wakaeneza Ebola Uganda
May 03, 2019 09:11Uganda imejiweka katika hali ya tahadhari kutokana na kuongezeka wasiwasi juu ya uwezekano wa kuenea hadi nchini humo ugonjwa hatari wa Ebola kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo inapambana na mlipuko wa homa hiyo.
-
DRC yafuta uchunguzi dhidi ya Moise Katumbi, huenda akarudi nyumbani
May 01, 2019 03:01Waendesha Mashitaka wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefuta uchunguzi wa shitaka la jinai dhidi ya Moise Katumbi, mwanasiasa wa upinzani ambaye kwa sasa yuko uhamishoni.
-
Kiongozi wa upinzani DRC awataka wananchi wamng'oe madarakani Rais Tshisekedi
Apr 29, 2019 02:56Kinara wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amewataka wananchi kutumia sauti na uwezo wao kumuondoa madarakani Rais Felix Tshisekedi wa nchi hiyo.
-
Watu 37 waaga dunia baada ya boti kuzama DRC
Apr 23, 2019 23:48Miili 37 imepatikana baada ya boti nyingine kuzama huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wiki moja baada ya makumi ya watu kupoteza maisha huku wengine wengi wakitoweka baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Kivu katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa nchi.