-
SAUTI, Kundi la Kiwahabi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) latangaza uwepo wake ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Apr 19, 2019 13:56Fumbo la muda mrefu ambalo lilikuwa likiwatatiza viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhusiana na uwepo wa mahusiano kati ya genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na kundi la waasi la ADF-NALU la nchini Uganda limefumbuliwa.
-
Makumi wafa maji, 150 watoweka katika ajali ya boti Kongo DR
Apr 17, 2019 09:15Makumi ya watu wamethibitishwa kupoteza maisha huku wengine 150 wakitoweka baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Kivu katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Jeshi la Kongo DR laua wanamgambo 36 wa Burundi
Apr 12, 2019 10:40Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuua wanachama 36 wa magenge mawili ya wanamgambo wa Burundi wanaobeba silaha, mashariki mwa nchi.
-
Ebola yaua watu zaidi ya 100 kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Apr 08, 2019 00:05Mripuko wa ugonjwa wa ebola umeua zaidi ya watu mia moja katika kipindi cha majuma matatu yaliyopita kwenye maeneo ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
WHO: Mripuko wa ebola unaenea kwa kasi zaidi DRC kuliko ilivyokuwa hapo kabla
Apr 02, 2019 03:43Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa mripuko wa ugonjwa hatari wa ebola unasambaa kwa kasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ikiwa ni miezi minane sasa tangu ulipoanza kugunduliwa tena kwa mara ya pili.
-
Uchaguzi wa bunge ulioakhirishwa DRC wafanyika leo Jumapili
Mar 31, 2019 03:13Uchaguzi wa Bunge ulioakhirishwa katika miji ya Butembo na Beni katika jimbo la Kivu Kaskazini pamoja na eneo la Yumbi katika mkoa wa Mai-Ndombe, Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unafanyika leo Jumapili kama ilivyopangwa.
-
Kesi mpya za ugonjwa wa Ebola zaripotiwa Kongo DR
Mar 30, 2019 03:26Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imethibitisha kesi nyingine 15 za ugonjwa hatari wa Ebola.
-
Rais Tshisekedi wa DRC aruhusu maseneta kuanza kazi
Mar 29, 2019 11:21Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameondoa marufuku ya maseneta wapya kuanza kazi na hivyo kumaliza mgogoro uliokuwa umeibuka baina yake na rais aliyemtangulia Joseph Kabila, ambaye chama chake kilishinda viti vingi zaidi katika Bunge la Seneti.
-
Wafuasi wa Fayulu walioshindwa katika uchaguzi DRC wakutana Ubelgiji na kuunda chama kipya + Sauti
Mar 24, 2019 12:15Viongozi wa Jukwaa la Lamuka ambao waliungana kumuunga mkono Martin Fayulu kama mgombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika uchaguzi uliopita na kisha mgombea huyo kushindwa, sasa wamekutana Ubelgiji na kugeuza jukwaa hilo kuwa chama cha kisiasa kikiongozwa na Fayulu. Mwandishi wetu Mosi Mwasi na maelezo zaidi...
-
Maafisa wa Tume ya Uchaguzi DRC wakanusha madai ya ufisadi ya Marekani
Mar 24, 2019 03:05Mwenyekiti wa Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo CENI, Corneille Nangaa pamoja na maafisa wengine wawili wa ngazi za juu wa tume hiyo wamekanusha vikali madai ya Marekani kwamba walihusika katika ufujaji wa fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi uliopita nchini humo.