Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Kiongozi wa upinzani DRC awataka wananchi wamng'oe madarakani Rais Tshisekedi

    Kiongozi wa upinzani DRC awataka wananchi wamng'oe madarakani Rais Tshisekedi

    Apr 29, 2019 02:56

    Kinara wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amewataka wananchi kutumia sauti na uwezo wao kumuondoa madarakani Rais Felix Tshisekedi wa nchi hiyo.

  • Watu 37 waaga dunia baada ya boti kuzama DRC

    Watu 37 waaga dunia baada ya boti kuzama DRC

    Apr 23, 2019 23:48

    Miili 37 imepatikana baada ya boti nyingine kuzama huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wiki moja baada ya makumi ya watu kupoteza maisha huku wengine wengi wakitoweka baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Kivu katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa nchi.

  • SAUTI, Kundi la Kiwahabi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) latangaza uwepo wake ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    SAUTI, Kundi la Kiwahabi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) latangaza uwepo wake ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Apr 19, 2019 13:56

    Fumbo la muda mrefu ambalo lilikuwa likiwatatiza viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhusiana na uwepo wa mahusiano kati ya genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na kundi la waasi la ADF-NALU la nchini Uganda limefumbuliwa.

  • Makumi wafa maji, 150 watoweka katika ajali ya boti Kongo DR

    Makumi wafa maji, 150 watoweka katika ajali ya boti Kongo DR

    Apr 17, 2019 09:15

    Makumi ya watu wamethibitishwa kupoteza maisha huku wengine 150 wakitoweka baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Kivu katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Jeshi la Kongo DR laua wanamgambo 36 wa Burundi

    Jeshi la Kongo DR laua wanamgambo 36 wa Burundi

    Apr 12, 2019 10:40

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuua wanachama 36 wa magenge mawili ya wanamgambo wa Burundi wanaobeba silaha, mashariki mwa nchi.

  • Ebola yaua watu zaidi ya 100 kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Ebola yaua watu zaidi ya 100 kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Apr 08, 2019 00:05

    Mripuko wa ugonjwa wa ebola umeua zaidi ya watu mia moja katika kipindi cha majuma matatu yaliyopita kwenye maeneo ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • WHO: Mripuko wa ebola unaenea kwa kasi zaidi DRC kuliko ilivyokuwa hapo kabla

    WHO: Mripuko wa ebola unaenea kwa kasi zaidi DRC kuliko ilivyokuwa hapo kabla

    Apr 02, 2019 03:43

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa mripuko wa ugonjwa hatari wa ebola unasambaa kwa kasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ikiwa ni miezi minane sasa tangu ulipoanza kugunduliwa tena kwa mara ya pili.

  • Uchaguzi wa bunge ulioakhirishwa DRC wafanyika leo Jumapili

    Uchaguzi wa bunge ulioakhirishwa DRC wafanyika leo Jumapili

    Mar 31, 2019 03:13

    Uchaguzi wa Bunge ulioakhirishwa katika miji ya Butembo na Beni katika jimbo la Kivu Kaskazini pamoja na eneo la Yumbi katika mkoa wa Mai-Ndombe, Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unafanyika leo Jumapili kama ilivyopangwa.

  • Kesi mpya za ugonjwa wa Ebola zaripotiwa Kongo DR

    Kesi mpya za ugonjwa wa Ebola zaripotiwa Kongo DR

    Mar 30, 2019 03:26

    Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imethibitisha kesi nyingine 15 za ugonjwa hatari wa Ebola.

  • Rais Tshisekedi wa DRC aruhusu maseneta kuanza kazi

    Rais Tshisekedi wa DRC aruhusu maseneta kuanza kazi

    Mar 29, 2019 11:21

    Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameondoa marufuku ya maseneta wapya kuanza kazi na hivyo kumaliza mgogoro uliokuwa umeibuka baina yake na rais aliyemtangulia Joseph Kabila, ambaye chama chake kilishinda viti vingi zaidi katika Bunge la Seneti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS