Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Wafuasi wa Fayulu walioshindwa katika uchaguzi DRC wakutana Ubelgiji na kuunda chama kipya + Sauti

    Wafuasi wa Fayulu walioshindwa katika uchaguzi DRC wakutana Ubelgiji na kuunda chama kipya + Sauti

    Mar 24, 2019 12:15

    Viongozi wa Jukwaa la Lamuka ambao waliungana kumuunga mkono Martin Fayulu kama mgombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika uchaguzi uliopita na kisha mgombea huyo kushindwa, sasa wamekutana Ubelgiji na kugeuza jukwaa hilo kuwa chama cha kisiasa kikiongozwa na Fayulu. Mwandishi wetu Mosi Mwasi na maelezo zaidi...

  • Maafisa wa Tume ya Uchaguzi DRC wakanusha madai ya ufisadi ya Marekani

    Maafisa wa Tume ya Uchaguzi DRC wakanusha madai ya ufisadi ya Marekani

    Mar 24, 2019 03:05

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo CENI, Corneille Nangaa pamoja na maafisa wengine wawili wa ngazi za juu wa tume hiyo wamekanusha vikali madai ya Marekani kwamba walihusika katika ufujaji wa fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi uliopita nchini humo.

  • UN: DRC inahitaji dola bilioni 1.6 kwa ajili ya misaada ya kibinadamu

    UN: DRC inahitaji dola bilioni 1.6 kwa ajili ya misaada ya kibinadamu

    Mar 21, 2019 20:47

    Umoja wa Mataifa umesema unahitaji msaada wa dola bilioni 1.65 za Marekani kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya msingi na ya kibinadamu ya watu milioni 9 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, walioathiriwa na mapigano.

  • Ajali ya treni yaua na kujeruhi zaidi ya watu 130 DRC

    Ajali ya treni yaua na kujeruhi zaidi ya watu 130 DRC

    Mar 19, 2019 02:30

    Ajali ya garimoshi la kusafirishia mizigo iliyotokea siku ya Jumapili katika mkoa wa Kasai wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesababisha kupoteza maisha zaidi ya watu 50 na kujeruhiwa wengine wapatao 80.

  • Rais Felix Tshisekedi wa DRC awaachia huru mamia ya wafungwa wa kisiasa

    Rais Felix Tshisekedi wa DRC awaachia huru mamia ya wafungwa wa kisiasa

    Mar 14, 2019 10:35

    Rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi amesaini dikrii ya kuwaachia huru mamia ya wafungwa wa kisiasa.

  • UN: Mauaji ya watu zaidi ya 500 DRC ni jinai dhidi ya binadamu

    UN: Mauaji ya watu zaidi ya 500 DRC ni jinai dhidi ya binadamu

    Mar 12, 2019 22:56

    Umoja wa Mataifa umesema mauaji ya zaidi ya watu 500 huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) yanaweza kuhesabiwa kuwa jinai dhidi ya binadamu.

  • Ugonjwa angamizi wa tauni waibuka mpaka wa Uganda na DRC

    Ugonjwa angamizi wa tauni waibuka mpaka wa Uganda na DRC

    Mar 12, 2019 13:01

    Ugonjwa angamizi wa tauni umeibuka katika mpaka wa Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo hadi sasa watu kadhaa wanaripotiwa kupoteza maisha.

  • Bemba ataka ICC impe fidia kwa kumfunga miaka 10 bila hatia

    Bemba ataka ICC impe fidia kwa kumfunga miaka 10 bila hatia

    Mar 12, 2019 04:26

    Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean-Pierre Bemba, ambaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC mwaka jana ilimuondoa hatiani, anaitaka mahakama hiyo ya mjini The Hague nchini Uholanzi impe fidia ya Yuro milioni 68 kwa kutompata na hatia katika kesi ya jinai za kivita iliyokuwa ikimuandama.

  • Guterres ataka kupunguzwa wanajeshi 2000 wa Monusco waliopo Kongo

    Guterres ataka kupunguzwa wanajeshi 2000 wa Monusco waliopo Kongo

    Mar 10, 2019 10:32

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kupunguzwa wanajeshi elfu mbili wa kikosi cha kulinda amani cha umoja huo waliopo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Monusco).

  • Mshindi wa Tuzo ya Nobel akosoa serikali ya umoja wa kitaifa DRC

    Mshindi wa Tuzo ya Nobel akosoa serikali ya umoja wa kitaifa DRC

    Mar 10, 2019 10:17

    Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ameitaja kama usaliti kwa wananchi, hatua ya Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kukubaliana na mtangulizi wake, Joseph Kabila kuunda serikali ya umoja wa kitaifa katika nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS