Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  •  Waasi wa Mai Mai wahujumu kambi ya kutibu Ebola nchini DRC

    Waasi wa Mai Mai wahujumu kambi ya kutibu Ebola nchini DRC

    Mar 09, 2019 11:44

    Waasi wa kundi la Mai Mai wamehujumu kambi ya kutibu wagonjwa wa Ebola huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kumuua afisa wa polisi kabla ya kutimuliwa na maafisa wa usalama.

  • UN yatafakari kupunguza askari wake wa kulinda amani DRC

    UN yatafakari kupunguza askari wake wa kulinda amani DRC

    Mar 08, 2019 00:06

    Huenda idadi ya askari wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO ikapunguzwa.

  • Kituo cha kutibu Ebola Butembo, DRC chahujumiwa

    Kituo cha kutibu Ebola Butembo, DRC chahujumiwa

    Mar 01, 2019 04:27

    Kituo cha kutibu Ebola huko Butembo, jimbo la Kivu Kaskazini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kimehujumiwa na watu wasiojulikana.

  • HRW: Polisi ya Kongo DR iliua watu 27 katika 'Operesheni ya Likofi'

    HRW: Polisi ya Kongo DR iliua watu 27 katika 'Operesheni ya Likofi'

    Feb 21, 2019 22:59

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliwaua watu 27 katika operesheni dhidi ya magenge ya uhalifu katika mji mkuu Kinshasa, mwaka jana.

  • Ripoti: Wanawake Kongo DR wananunua chanjo ya Ebola kwa ngono

    Ripoti: Wanawake Kongo DR wananunua chanjo ya Ebola kwa ngono

    Feb 13, 2019 04:13

    Vyanzo mbalimbali ya habari vimeripoti kuwa, wanawake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanalazimika kufanya ngono mkabala wa kupewa chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola, ambao umeua mamia ya watu kufikia sasa.

  • Jeshi la Kongo DR laua magaidi wanne mjini Beni

    Jeshi la Kongo DR laua magaidi wanne mjini Beni

    Feb 12, 2019 23:03

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuangamiza wanachama wanne wa kundi la kigaidi la ADF, mashariki mwa nchi.

  • Ubelgiji yatakiwa kuiomba radhi DRC kwa jinai za enzi za ukoloni

    Ubelgiji yatakiwa kuiomba radhi DRC kwa jinai za enzi za ukoloni

    Feb 12, 2019 10:55

    Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Ubelgiji iiombe radhi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na jinai ilizowafanyia Wakongomani katika kipindi cha ukoloni.

  • Kenya kumsaidia Rais Felix Tshisekedi kurejesha utulivu DRC

    Kenya kumsaidia Rais Felix Tshisekedi kurejesha utulivu DRC

    Feb 07, 2019 11:14

    Katika hatua inayoonesha ni ya kuzidi kuunga mkono juhudi za kuleta amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kuwa Nairobi iko tayari kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa sekta ya umma wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kama sehemu ya kuisaidia nchi hiyo kuwa na utulivu wa kudumu na watu wake kuishi kwa usalama na amani.

  • Jumatano tarehe 30 Januari 2019

    Jumatano tarehe 30 Januari 2019

    Jan 29, 2019 21:39

    Leo ni Jumatano tarehe 23 Jamadil Awwal 1440 Hijria sawa na Januari 30 mwaka 2019.

  • MONUSCO yatuma askari zaidi katika kijiji cha Yumbi DRC + Sauti

    MONUSCO yatuma askari zaidi katika kijiji cha Yumbi DRC + Sauti

    Jan 28, 2019 23:00

    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO umetuma askari zaidi katika kijiji cha Yumbi mkoani Maindombe, kaskazini magharibi mwa mji mkuu Kinshasa mahali palipotokea mapigano ya kikabila mwishoni mwa mwezi Disemba mwaka jana. Mossi Mwassi na maelezo zaidi...

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS