MONUSCO yatuma askari zaidi katika kijiji cha Yumbi DRC + Sauti
Jan 28, 2019 23:00 UTC
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO umetuma askari zaidi katika kijiji cha Yumbi mkoani Maindombe, kaskazini magharibi mwa mji mkuu Kinshasa mahali palipotokea mapigano ya kikabila mwishoni mwa mwezi Disemba mwaka jana. Mossi Mwassi na maelezo zaidi...
Tags