-
Watu 25 wauawa katika mapigano mashariki mwa DRC; M23 wadai kuidhibiti Goma
Jan 28, 2025 05:39Zaidi ya watu 22 wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa wakati wa mapigano kati ya waasi wa M23 na vikosi vya serikali mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Mkuu wa MONUSCO awataka waasi wa M23 kuondoka Kongo
Jan 27, 2025 04:37Mkuu wa kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) amewataka waasi wa kundi la M23 kusitisha harakati zao na kuondoka nchini humo.
-
Waasi wa M23 wauteka mji wa kistratajia mashariki mwa DRC
Jan 21, 2025 23:19Waasi wa M23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameuteka mji wa mashariki wa Minova, njia kuu ya usambazaji wa bidhaa huko Goma, makao makuu ya mkoa wa Kivu Kaskazini.
-
Upinzani Kongo wataka kuchukuliwa hatua kuzuia mabadiliko ya katiba
Nov 21, 2024 04:09Vyama vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidmemokrasia ya Kongo vimewatolea wito wananchi kupinga mipango tarajiwa inayoandaliwa na Rais Felix Tshisekedi wa nchi hiyo ya kubadilisha katiba.
-
Makumi waaga dunia katika ajali ya boti mashariki ya DRC
Oct 04, 2024 03:43Zaidi ya watu 70 wamekufa maji baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupinduka kwenye Ziwa Kivu jana Alkhamisi, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, karibu na Rwanda.
-
Wanaharakati DRC wakaribisha kuhukumiwa kifo raia wa US
Sep 15, 2024 08:27Wanaharakati, wanasiasa na watetezi wa haki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameipongeza Mahakama ya Kijeshi ya nchi hiyo kwa kuwahukumu kifo watu 37 wakiwemo raia watatu wa Marekani na mmoja wa Uingereza, baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na jaribio la kuipindua serikali katika nchi hiyo ya katikati mwa Afrika, Juni mwaka huu.
-
Wafungwa 129 wauawa wakijaribu kutoroka jela DRC
Sep 03, 2024 07:58Kwa akali watu 129 wamethibitishwa kuawa na wengine 59 kujeruhiwa wakati wa jaribio la kutoroka jela katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Watu 100 wahofiwa kufa maji katika ajali ya boti Kongo DR
Aug 21, 2024 08:22Watu zaidi ya 100 wametoweka baada ya boti iliyokuwa imewabeba kupinduka na kuzama magharibi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Watu 16 wauawa katika makabiliano baina ya waasi, wanamgambo DRC
Aug 16, 2024 07:40Mapigano kati ya waasi na wanamgambo wanaoiunga mkono serikali mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamepelekea kuuawa wanakijiji 16.
-
Watu 26 wahukumiwa kifo Kongo DR kwa 'jinai za kivita'
Aug 08, 2024 23:57Watu wasiopungua 26 wamehukumiwa kifo na mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka matatu yaliyokuwa yakiwakabili.