Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Umoja wa Mataifa: Watu 20 wameuawa katika maandamano  ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Umoja wa Mataifa: Watu 20 wameuawa katika maandamano ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Dec 21, 2016 03:35

    Mkurugenzi wa Shirika la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa, kuna ripoti za kuaminika zinazoonyesha kuwa, watu wasiopungua 20 wameuawa jijijni Kinshasa katika mapambano baina yao na vikosi vya usalama.

  • Hofu ya UN kuhusu machafuko na ghasia DRC

    Hofu ya UN kuhusu machafuko na ghasia DRC

    Dec 21, 2016 00:22

    Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu machafuko yanayoendelea chini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC), ambapo zaidi ya watu 113 wakiwemo wapinzani wa kisiasa wa serikali wameripotiwa kukamatwa naaskari wa serikali.

  • Kambi ya upinzani Congo yawataka wananchi kupinga utawala wa Kabila

    Kambi ya upinzani Congo yawataka wananchi kupinga utawala wa Kabila

    Dec 20, 2016 11:28

    Kambi kuu ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewataka wananchi kutomtambua tena Joseph Kabila kama rais wa nchi hiyo na imewahimiza kuonesha upinzani wao dhidi ya Kabila kwa njia ya amani.

  • Taharuki yatanda DRC, milio ya risasi yasikika Kinshasa

    Taharuki yatanda DRC, milio ya risasi yasikika Kinshasa

    Dec 20, 2016 04:15

    Hali ya taharuki imetanda katika maeneo mbali mbali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku milio ya risasi ikirindima katika mji mkuu Kinshasa mapema leo.

  • Watu 20 wapoteza maisha kwenye mgodi Kongo DR

    Watu 20 wapoteza maisha kwenye mgodi Kongo DR

    Dec 19, 2016 03:59

    Wachimba migodi 20 wamefariki dunia baada ya mgodi wa dhahabu kuwaporomokea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Wapizani Kongo DR wasema hawataandamana dhidi ya serikali

    Wapizani Kongo DR wasema hawataandamana dhidi ya serikali

    Dec 18, 2016 10:35

    Viongozi wa upinzani huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesema hawatafanya maandamano kesho Jumatatu dhidi ya serikali, licha ya muhula wa Rais Joseph Kabila kumalizika.

  • Hofu ya UN baada ya DRC kusema itafunga mitandao ya kijamii Jumapili usiku

    Hofu ya UN baada ya DRC kusema itafunga mitandao ya kijamii Jumapili usiku

    Dec 18, 2016 03:53

    Umoja wa Mataifa umebainisha wasiwasi wake kufuatia kutangazwa mpango wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kufunga mitandao ya kijamii Jumapili usiku.

  • Muhula wa Rais Kabila DRC wamalizika, serikali yazima mitandao ya kijamii

    Muhula wa Rais Kabila DRC wamalizika, serikali yazima mitandao ya kijamii

    Dec 16, 2016 04:49

    Katika hali ambayo muhula wa kisheria wa kuwa uongozini Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaelekea kumalizika, serikali ya Kinshasa imeagiza kukatwa mawasiliano kwenye mitandao ya kijamii.

  • Juhudi za mwisho za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Juhudi za mwisho za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Dec 13, 2016 10:08

    Katika hali ambayo, kimebakia kipindi cha chini ya wiki moja hadi kumalizika muhula wa kisheria wa uongozi wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hatua kali za kiusalama zinashuhudiwa katika nchi hiyo sambamba na juhudi za mwisho za kuupatia ufumbuzi mvutano wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Lambert Mende: Vikwazo vya EU dhidi ya maafisa wa DRC si vya kisheria

    Lambert Mende: Vikwazo vya EU dhidi ya maafisa wa DRC si vya kisheria

    Dec 12, 2016 23:18

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, vikwazo vya Umoja wa Ulaya ilivyowawekea baadhi ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Kinshasa si halali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS