-
Waasi: Tumeua na kuteka wanajeshi wa serikali DRC
Dec 10, 2016 10:27Mwanajeshi mmoja wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameuawa katika mapigano na waasi wanaojulikana kwa jina la kikosi cha wamapambano wa mkoa wa Ituri FRPI huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kubwa ya katikati mwa Afrika. Waasi hao wanadai wameua na kuteka wanajeshi kadhaa.
-
Wito wa kufanyika mkutano kati ya chama tawala na kambi ya upinzani Congo DR
Dec 07, 2016 23:37Jumuiya za kiraia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimetoa wito wa kufanyika mkutano baina ya chama tawala na vyama na makundi ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Watu 31 wauawa katika mapigano mapya Kongo DR
Dec 06, 2016 12:12Makumi ya watu wameuawa katika mapigano kati ya kundi la waasi na maafisa usalama kati kati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wasiwasi wa machafuko na ukosefu wa amani ungalipo mashariki mwa DRC
Dec 05, 2016 04:11Mjumbe wa Kamisheni ya Uadilifu na Amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameelezea wasiwasi mkubwa alionao kutokana na kuongezeka machafuko na ukosefu wa amani katika mji wa Bukavu ambao ni makao makuu ya mkoa wa Kivu Kaskazini.
-
UN: Kwa akali watoto milioni nne wa Kongo DR wamepoteza mzazi mmoja au wote
Nov 28, 2016 11:25Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kwa akali watoto milioni nne wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamepoteza mzazi mmoja au wote wawili.
-
Makumi wauawa DRC katika mapigano kati ya jeshi na wanamgambo wa Mai-Mai
Nov 28, 2016 00:54Watu wasiopungua 34 wanaripotiwa kuuawa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia mapigano yaliyozuka kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo wa Mai-Mai mashariki mwa nchi hiyo.
-
Watu 30 wauawa na waasi mashariki mwa Kongo DR
Nov 27, 2016 12:16Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mapigano kati ya makundi mawili ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wanamgambo wafanya mashambulizi mapya mashariki mwa Kongo DR
Nov 21, 2016 04:11Wanamgambo wenye silaha wamefanya mashambulizi katika mkoa wa Tanganyika wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuua na kujeruhi watu kadhaa.
-
Maandamano yapigwa marufuku Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Nov 19, 2016 04:36Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesisitiza kuwa ni marufuku kufanya maandamano katika miji mikubwa ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Kinshasa, licha ya Umoja wa Mataifa kutaka kuheshimiwa uhuru na haki za msingi nchini humo.
-
Mpinzani ateluwa kuwa Waziri Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Nov 18, 2016 01:06Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemteua mbunge wa kambi ya upinzani kuwa waziri mkuu baada ya mapatano baina ya serikali na baahdi ya makundi ya upinzani.