Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Kundi la watu wenye silaha latiwa mbaroni Bunia Kongo

    Kundi la watu wenye silaha latiwa mbaroni Bunia Kongo

    Nov 17, 2016 00:54

    Inspekta wa Polisi katika mkoa wa Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameripoti kutiwa mbaroni kundi moja la watu wenye silaha katika mji wa Bunia nchini humo.

  • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ajiuzulu

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ajiuzulu

    Nov 14, 2016 11:39

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Augustin Matata Ponyo amesema leo kuwa amejiuzulu wadhifa huo sambamba na mwafaka wa kisiasa uliofikiwa nchini humo ambao unamuongezea muda wa kubakia madarakani Rais Joseph Kabila.

  • 5 wauawa katika hujuma dhidi ya msafara wa waziri DRC

    5 wauawa katika hujuma dhidi ya msafara wa waziri DRC

    Nov 14, 2016 04:26

    Kwa akali watu watano wameuawa katika shambulio lililolenga msafara wa waziri katika mkoa wa Kivu Kusini, huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Umoja wa Mataifa wataka kuheshimiwa haki za waandamanaji Congo DR

    Umoja wa Mataifa wataka kuheshimiwa haki za waandamanaji Congo DR

    Nov 13, 2016 04:43

    Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuheshimu haki za kimsingi za raia wa nchi hiyo.

  • Nchi jirani na Kongo DR zatuhumiwa kukiuka makubaliano ya Addis Ababa

    Nchi jirani na Kongo DR zatuhumiwa kukiuka makubaliano ya Addis Ababa

    Nov 11, 2016 12:20

    Kamati ya Utekelezaji Makubaliano ya Addis Ababa imezituhumu nchi jirani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa zimekiuka makubaliano hayo kwa kuwapa hifadhi waasi wa zamani wa nchini humo.

  • Ulimwengu wa Michezo, Nov 7

    Ulimwengu wa Michezo, Nov 7

    Nov 07, 2016 04:28

    Mkusanyiko wa matukio kem kem ya spoti yalitoawala anga mbali mbali ndani ya siku saba zilizopita......................

  • Polisi Kongo DR wazima maandamano ya wapinzani Kinshasa

    Polisi Kongo DR wazima maandamano ya wapinzani Kinshasa

    Nov 06, 2016 04:04

    Maafisa wa polisi wa kupambana na ghasia wametumia mabomu ya kutoa machozi kuzima maandamano ya wapinzani katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa.

  • Serikali ya DRC yatakiwa kuimarisha usalama katika mji wa Bunia

    Serikali ya DRC yatakiwa kuimarisha usalama katika mji wa Bunia

    Nov 02, 2016 04:18

    Harakati ya Vijana wa Bunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewataka viongozi wa serikali kuchukua hatua za lazima kwa ajili ya kuimarisha usalama katika mji huo wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Waasi wa  Maï-Maï watakiwa kuweka chini silaha DRC

    Waasi wa Maï-Maï watakiwa kuweka chini silaha DRC

    Oct 28, 2016 03:53

    Jumuiya za kiraia katika mkoa wa Kivu Kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, zimewataka waasi wa Maï-Maï kuweka chini silaha zao.

  • Wanaharakati kadhaa wa kijamii wakamatwa DRC

    Wanaharakati kadhaa wa kijamii wakamatwa DRC

    Oct 26, 2016 11:49

    Wanaharakati kadhaa wa masuala ya kijamii wametiwa mbaroni huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kutuma barua kwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kulalamikia makubaliano ya kisiasa yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya serikali na baadhi ya wapinzani nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS