Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Wakongomani walio wengi hawataki Katiba ibadilishwe kwa maslahi ya Rais Kabila

    Wakongomani walio wengi hawataki Katiba ibadilishwe kwa maslahi ya Rais Kabila

    Oct 25, 2016 13:09

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yanaonyesha kuwa raia wengi wanapinga Katiba ya nchi hiyo kufanyiwa mabadiliko.

  • Mapigano baina ya waasi wa Rwanda na wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Mapigano baina ya waasi wa Rwanda na wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Oct 25, 2016 02:28

    Mapigano makali yameibuka kati ya waasi wa Rwanda na wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika jimbo la Kivu Kaskazini na kupelekea watu kadhaa kuuawa.

  • Ghasia za kisiasa zapamba moto DRC

    Ghasia za kisiasa zapamba moto DRC

    Oct 24, 2016 00:11

    Mivutano ya kisiasa imeripotiwa kupamba moto nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Maelfu ya wakimbizi mashariki mwa Congo DR wanahitajia misaada ya kibinadamu

    Maelfu ya wakimbizi mashariki mwa Congo DR wanahitajia misaada ya kibinadamu

    Oct 23, 2016 04:03

    Maelfu ya wakimbizi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanahitajia misaada ya kibinadamu.

  • Viongozi wa Kikristo DRC hawataki kuakhirishwa uchaguzi

    Viongozi wa Kikristo DRC hawataki kuakhirishwa uchaguzi

    Oct 22, 2016 00:59

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametofautiana na uamuzi wa hivi karibuni uliofikiwa na chama tawala pamoja na vyama kadhaa vya upinzani, wa kuakhihirisha uchaguzi mkuu kutoka mwezi ujao hadi Aprili mwaka 2018.

  • UN yaeleza matumaini yake kuhusu makubaliano ya kisiasa DRC

    UN yaeleza matumaini yake kuhusu makubaliano ya kisiasa DRC

    Oct 20, 2016 10:18

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amesema ana wingi wa matumaini kuwa makubaliano ya kisiasa yaliyofikiwa Jumanne iliyopita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yatasaidia kuheshimiwa haki za binadamu sambamba na kufanyika uchaguzi wenye itibari katika nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Aliyekuwa Makamu wa Rais DRC apatikana na hatia ya kuhonga mashahidi

    Aliyekuwa Makamu wa Rais DRC apatikana na hatia ya kuhonga mashahidi

    Oct 20, 2016 00:34

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imempata na hatia Jean-Pierre Bemba, Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyekuwa akikabiliwa na tuhuma za kutoa rushwa ili kutatiza mkondo wa ushahidi katika kesi dhidi yake.

  • Taharuki na migomo vyatawala Kongo DR

    Taharuki na migomo vyatawala Kongo DR

    Oct 19, 2016 12:03

    Hali ya taharuki imetanda katika miji kadhaa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hususan mji mkuu Kinshasa, huku wafanyakazi wa sekta mbalimbali wakisusia kazi kufuatia wito wa wapinzani wanaopinga makubaliano ya kisiasa yaliyofikiwa jana Jumanne.

  • Umoja wa Mataifa wakubali kuongezwa majukumu ya askari wa kulinda amani nchini Kongo DR

    Umoja wa Mataifa wakubali kuongezwa majukumu ya askari wa kulinda amani nchini Kongo DR

    Oct 19, 2016 09:54

    Umoja wa Mataifa, umekubali kuongezwa majukumu ya askari wa kusimamia amani wa umoja huo mjini Kinshasa, mji mkuu wa taifa hilo.

  • Upinzani DRC: Tutaitisha mgomo wa kitaifa na maandamano mengine

    Upinzani DRC: Tutaitisha mgomo wa kitaifa na maandamano mengine

    Oct 16, 2016 10:25

    Vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vimewataka wafanyakazi wote kushirikia mgomo wa kitaifa na maandamano ya nchi nzima siku ya Jumatano, kumshinikiza Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo aachie ngazi mwishoni mwa muhula wake wa pili unaomalizika mwishoni mwa mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS