Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Wapinzani Kongo watakiwa kujongea kwenye meza ya mazungumzo ya kitaifa

    Wapinzani Kongo watakiwa kujongea kwenye meza ya mazungumzo ya kitaifa

    Oct 15, 2016 09:12

    Jumuiya ya Ustawi ya Kusini mwa Afrika (SADC) imewatolea wito wapinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kujiunga na mazungumzo ya kitaifa.

  • Wapinzani Kongo DR watakiwa kujongea kwenye mazungumzo

    Wapinzani Kongo DR watakiwa kujongea kwenye mazungumzo

    Oct 15, 2016 00:28

    Jumuiya ya Ustawi ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imewataka wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kujiunga na mazungumzo ya kitaifa ya nchi hiyo.

  • UN: Mustakabali wa kisiasa DRC umegubikwa na kiza

    UN: Mustakabali wa kisiasa DRC umegubikwa na kiza

    Oct 12, 2016 04:26

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa hali ya kisiasa na kiusalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ipo katika hali nyeti hivi sasa na kwamba huenda machafuko yakashtadi.

  • Kiongozi wa upinzani atiwa nguvuni Kongo DR

    Kiongozi wa upinzani atiwa nguvuni Kongo DR

    Oct 11, 2016 04:37

    Kiongozi mmoja wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametiwa nguvuni kwa madai ya kuhusika na machafuko yaliyotokana na maandamano ya kupinga serikali yaliyofanyika mwezi uliopita ambapo watu zaidi ya 50 waliuawa.

  • Wapinzani wakusanyika  Kisangani wakitaka kuachiwa huru wafungwa wa kisiasa

    Wapinzani wakusanyika Kisangani wakitaka kuachiwa huru wafungwa wa kisiasa

    Oct 10, 2016 10:44

    Wapinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekusanyika katika mji wa Kisangani nchini humo wakitaka kuachiwa huru wanaharakati wa kisiasa wanaoipinga serikali.

  • Kongo DR yakosoa vikwazo ilivyowekewa na Marekani

    Kongo DR yakosoa vikwazo ilivyowekewa na Marekani

    Oct 06, 2016 10:59

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekosoa vikali hatua ya Marekani kuwawekea vikwazo maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Kinshasa, kwa shabaha ya kuathiri mwelekeo wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Rais Kabila: Uchaguzi utafanyika mwaka 2018

    Rais Kabila: Uchaguzi utafanyika mwaka 2018

    Oct 06, 2016 01:11

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesisitiza kuwa uchaguzi nchini humo utafanyika mwaka 2018.

  • Wapinzani DRC wakutana Kinshasa kulalamikia kuakhirisha uchaguzi

    Wapinzani DRC wakutana Kinshasa kulalamikia kuakhirisha uchaguzi

    Oct 05, 2016 04:37

    Wapinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo jana walifanya mkutano katika mji mkuu wa nchi hiyo Kinshasa na kulalamikia hatua ya Tume ya Uchaguzi ya kuakhirisha zoezi la uchaguzi mkuu uliokuwa ufanyike mwezi ujao wa Novemba.

  • Rais Kabila: Kutokuandikishwa watu milioni 10 ni sababu ya kuakhirishwa uchaguzi Kongo DR

    Rais Kabila: Kutokuandikishwa watu milioni 10 ni sababu ya kuakhirishwa uchaguzi Kongo DR

    Oct 04, 2016 14:33

    Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa, kutoandikishwa raia milioni 10 ni sababu iliyopelekea kuakhirishwa uchaguzi wa rais nchini mwake.

  • Serikali ya Kongo DR yaanza kuzilipa fidia familia za wahanga wa ghasia za Kinshasa

    Serikali ya Kongo DR yaanza kuzilipa fidia familia za wahanga wa ghasia za Kinshasa

    Oct 02, 2016 10:35

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeanza kuzilipa fidia familia za watu waliouliwa kwenye ghasia za hivi karibuni huko Kinshasa mji mkuu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS