Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Tume: Yumkini uchaguzi mkuu usifanyike mwezi ujao DRC

    Tume: Yumkini uchaguzi mkuu usifanyike mwezi ujao DRC

    Oct 02, 2016 04:46

    Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema huenda uchaguzi mkuu usifanyike nchini humo mwezi ujao wa Novemba kama ilivyotarajiwa kutokana na sababu za kilojistiki.

  • Mazungumzo ya kitaifa yaanza tena Congo DR

    Mazungumzo ya kitaifa yaanza tena Congo DR

    Oct 01, 2016 10:59

    Mpatanishi katika mazungumzo ya kitaifa huko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametangaza kuwa, mazungumzo ya kitaifa ya nchi hiyo yalianza Ijumaa ya jana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa.

  • UNHCR yataka uchunguzi ufanyike kuhusu machafuko ya Kinshasa

    UNHCR yataka uchunguzi ufanyike kuhusu machafuko ya Kinshasa

    Sep 28, 2016 03:45

    Umoja wa Mataifa umetaka kufanyike uchunguzi kuhusu ghasia na machafuko yaliyotokea hivi karibuni huko Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Kushadidi ghasia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Kushadidi ghasia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

    Sep 27, 2016 10:46

    Kuendelea maandamano dhidi ya serikali katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Kinshasa kumepelekea watu zaidi kuuawa.

  • Uasi na machafuko katika mji mkuu wa Kongo DR, Kinshasa

    Uasi na machafuko katika mji mkuu wa Kongo DR, Kinshasa

    Sep 24, 2016 08:15

    Kuendelea ghasia na machafuko kati ya waandamanaji na askari usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumeitia wasiwasi jamii ya kimataifa.

  • Ubelgiji yataka ufanyike uchunguzi huru kuhusu machafuko ya Kongo DR

    Ubelgiji yataka ufanyike uchunguzi huru kuhusu machafuko ya Kongo DR

    Sep 24, 2016 04:35

    Serikali ya Ubelgiji imetaka ufanyike uchunguzi huru kuhusu machafuko yaliyotokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Wapinzani Kongo DR wasusia mazungumzo ya kitaifa

    Wapinzani Kongo DR wasusia mazungumzo ya kitaifa

    Sep 24, 2016 01:06

    Wapinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesusia kushiriki kikao cha mazungumzo ya kitaifa.

  • AU: Tuna wasi wasi na hali ya mambo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    AU: Tuna wasi wasi na hali ya mambo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Sep 21, 2016 04:31

    Umoja wa Afrika umeonyesha wasi wasi wake juu ya hali ya mambo yanayojiri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Kamisheni ya uchaguzi Kongo DR yawasilisha rasmi pendekezo la kuahirishwa uchaguzi wa rais

    Kamisheni ya uchaguzi Kongo DR yawasilisha rasmi pendekezo la kuahirishwa uchaguzi wa rais

    Sep 18, 2016 09:47

    Kamisheni huru ya kitaifa ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetaka kuahirishwa tarehe ya uchaguzi wa rais nchini humo.

  • Vijiji vinne vyakombolewa kaskazini mashariki mwa Kongo DR

    Vijiji vinne vyakombolewa kaskazini mashariki mwa Kongo DR

    Sep 18, 2016 02:46

    Duru za kijeshi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimearifu kukombolewa vijiji vinne kaskazini mashariki mwa nchi hiyo vilivyokuwa vimetekwa na waasi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS