-
Iran: Taarifa ya Japan na Waarabu kuhusu visiwa vitatu haina maana
Sep 08, 2023 03:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa taarifa ya pamoja iliyotolewa na Japan na nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vitatu vya Iran vya Bu Musa, Tomb Ndogo na Tomb Kubwa na kusisitiza kuwa taarifa hiyo haina umuhimu wowote.
-
Ijumaa, tarehe 16 Juni, 2023
Jun 16, 2023 02:24Leo ni Ijumaa tarehe 27 Dhulqaada 1444 Hijria sawa na tarehe 16 Juni 2023
-
Alkhamisi tarehe Mosi Juni mwaka 2023
Jun 01, 2023 01:21Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Dhilqaada 1444 Hijria sawa na tarehe Mosi Juni mwaka 2023.
-
Waziri Mkuu wa Japan amwachisha kazi msaidizi wake kwa kupinga ndoa za watu wa jinsia moja!
Feb 05, 2023 07:48Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida amemwachisha kazi katibu wake mmoja kwa sababu ya matamshi yaliyotafsiriwa kuwa ya chuki dhidi ya maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja; na kusema, matamshi hayo yaliyotolewa na msaidizi wake huyo wa masuala ya kiuchumi ni "ya kuchukiza".
-
Russia: Waziri Mkuu wa Japan ni msaliti wa wahanga wa mashambulio ya nyuklia ya Marekani
Jan 15, 2023 02:23Naibu wa Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema kuwa, Waziri Mkuu wa Japan ni msaliti wa wahanga wa mashambulio ya nyuklia ya Marekani nchini mwake na kusisitiza kuwa, waziri mkuu huyo anatumikia malengo ya kibeberu ya Marekani.
-
China: Japan inatia shaka kwamba inataka suluhu wakati imeongeza mno bajeti ya kijeshi
Dec 28, 2022 11:25Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema mipango ya Japan ya kuongeza kwa kiwango kikubwa mno bajeti yake ya kijeshi inatia wasiwasi na kusisitiza kwamba: kuna shaka kuwa hatua hiyo ya Tokyo imechukuliwa kwa nia ya kuleta suluhu na amani.
-
Ijumaa, Disemba 23, 2022
Dec 23, 2022 02:38Leo ni Ijumaa tarehe 28 Mfunguo Nane Jumadil Awwal 1444 Hijria inayosadifiana na 23 Disemba 2022 Milaadia.
-
Japan yataka Umoja wa Afrika upewe uanachama wa G20
Dec 20, 2022 02:40Japan imetangaza kuwa inaunga mkono pendekezo la kupewa uanachama Umoja wa Afrika (AU) katika kundi la G20.
-
Korea Kaskazini yafyatua kombora la balestiki kuelekea Japan
Oct 04, 2022 07:51Korea Kaskazini imefyatua kombora lake la balestiki kuelekea upande wa Japan, na kupelekea kusitishwa kwa usafiri wa treni katika baadhi ya maeneo, huku Wajapani katika maeneo ya kaskazini wakitakiwa kujificha.
-
Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia
Sep 26, 2022 08:20Hatua ya Korea Kaskazini ya kufanyia majaribio kombora lake jipya kuelekea upande wa Bahari ya Japan imepokewa kwa hisia kali na nchi mbili za Japan na Korea Kusini.