-
Raisi: Azimio la IAEA dhidi ya Iran lilitia doa muamana wa kisiasa
Jul 23, 2022 22:57Rais wa Iran amesema azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) lilikuwa na taathira hasi kwa muamana na irada ya kisiasa ya pande husika.
-
Biden: Lilikuwa kosa kubwa sana kujitoa katika JCPOA
Jul 14, 2022 03:30Rais Joe Biden wa Marekani amesema kujitoa nchi yake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA lilikuwa kosa kubwa sana na akadai kwamba "inapasa turudi tena kwenye JCPOA".
-
Joe Biden aendeleza uhasama wa Marekani dhidi ya Iran
Jul 10, 2022 03:19Rais Joe Biden wa Marekani amedai katika mahojiano yake na gazeti la Washington Post, kuwa Washington itaendeleza mashinikizo ya kidiplomasia na kiuchumi hadi Iran itakaporejea kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Borrell: Lengo la mazungumzo ya Doha ni kuhuisha utekelezaji wa mapatano ya JCPOA
Jun 29, 2022 03:24Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) ameandika katika ujumbe wake wa twiter kwamba lengo la mazungumzo ya Doha ni kuanza kufanya kazi mapatano ya JCPOA.
-
Bagheri Kani aelekea Doha kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya JCPOA
Jun 28, 2022 03:36Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA anaelekea Doha, mji mkuu wa Qatar kwa ajili kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu.
-
Mazungumzo ya kufufua JCPOA kufanyika katika Ghuba ya Uajemi
Jun 27, 2022 06:59Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA itafanyika katika moja ya nchi za eneo hili la Asia Magharibi.
-
Shamkhani: Iran inataka makubaliano thabiti na ya kudumu
Jun 26, 2022 06:49Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kufikia makubaliano thabiti, ya kudumu na ya kutegemewa baina yake na kundi la 4+1 katika mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA huko Vienna, Austria.
-
Hatua na jumbe za kindumakuwili za Marekani kuhusiana na JCPOA na Iran
Jun 18, 2022 21:53Moja ya zilizokuwa nara na madai muhimu ya Marekani wakati Rais Joe Biden alipoingia madarakani ni kuirejesha Washington katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Mashauriano ya Blinken na Troika ya Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
May 16, 2022 03:03Akizungumza karibuni kando ya mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameshauriana na mawaziri wenzake wa Ujerumani, Ufaransa na Uingereza kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran na vilevile matukio ya hivi karibuni nchini Ukraine.
-
Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua masharti mapya ya kuondoa vikwazo
Apr 10, 2022 22:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imeibua masharti mapya inayotaka Tehran itekeleze ili iondolewe vikwazo sanjari na kuhuishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015.