-
Iran: Kama mapatano ya JCPOA yatavunjika, tutaanza kutekeleza miradi yetu ya nyuklia kwa kasi kubwa
Apr 21, 2018 23:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu uwezekano wa Marekani kujitoa katika mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA kwamba, Tehran ina machaguo kadhaa likiwemo la kuanzisha utekelezaji wa miradi yake ya nyuklia kwa kasi kubwa zaidi.
-
Zarif: Marekani itajuta kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran
Apr 20, 2018 02:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Tehran ina hatua kadhaa ambazo inaweza kuchukua ambazo zitaifanya Marekani ijute kujiondoa katika mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Korea Kaskazini: Marekani iache vitisho vya kujiondoa katika makubaliano ya JCPOA
Apr 17, 2018 09:58Serikali ya Korea Kaskazini sambamba na kuunga mkono Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kuyataja kuwa makubaliano ya kimataifa na muhimu zaidi kati ya Iran na kundi la 5+1, imeikosoa mwenendo wa serikali ya Marekani wa kuendelea kutishia kujitoa katika makubaliano hayo.
-
Mogherini asisitiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran huku undumakuwili wa EU ukiendelea
Apr 17, 2018 03:48Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesistiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.
-
Mogherini: Kulindwa makubaliano ya nyuklia ya Iran ni muhimu kwa EU
Apr 16, 2018 22:49Umoja wa Ulaya umekariri azma yake kubwa ya kutekeleza kikamilifu na pande zote makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 na kuongeza kuwa, kulindwa makubaliano hayo ni jambo lenye umuhimu.
-
Araqchi: Marekani haiwezi kuchukua uamuzi peke yake kuhusu JCPOA
Apr 10, 2018 12:17Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema: makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hayapo kwa ajili ya Marekani hata iamue kuchukua uamuzi wowote itakao kuhusu makubaliano hayo.
-
Boroujerdi: Iran haitoheshimu maafikiano ya JCPOA iwapo itahisi hayana faida kwake
Apr 07, 2018 11:51Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitiza kuwa, Tehran inaendelea kuheshimu maafikiano ya nyuklia ya JCPOA kutokana na kuhisi ina manufaa ndani yake, lakini kama Marekani itajitoa kwenye maafikiano hayo, Iran nayo haitaona haja ya kuendelea nayo.
-
Iran: Tutatoa jibu kali iwapo Marekani itakiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Apr 05, 2018 23:18Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amezitahadharisha nchi zinazotaka kuvuruga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kati ya Iran na nchi 6 wanachama wa kundi la 5+1 na kusisitiza kuwa, Tehran itatoa jibu kali kwa hatua kama hiyo.
-
Wataalamu 100 wa usalama wa taifa Marekani wamtaka Trump aheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 27, 2018 12:23Zaidi ya shakhsia 100 wakiwemo wataalamu na maafisa wa kijeshi na kisiasa wa zamani wa Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump aheshimu makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Araqchi: Hatua yoyote ya kuvuruga mapatano ya JCPOA itakuwa na mwisho mbaya
Mar 26, 2018 10:42Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita za kundi la 5+1 ni mapatano ya kiusalama na yanahusiana moja kwa moja na usalama wa eneo la Mashariki ya Kati na wa kimataifa, na uvurugaji wa aina yoyote wa makubaliano hayo utakuwa na matokeo mabaya kwa jamii ya kimataifa.