-
Abdollahian: Uteuzi wa Bolton ni kwa lengo la kupata manufaa zaidi Marekani kupitia JCPOA
Mar 26, 2018 03:22Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kitendo cha rais wa Marekani cha kuwapa vyeo muhimu watu wenye misimamo mikali kama John Bolton kwa hakika ni siasa za kutaka kupata manufaa zaidi kupitia maafikiano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Sisitizo la viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa la kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 23, 2018 03:27Viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa walikutana jana Alkhamisi pambizoni mwa mkutano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels Ubelgiji ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia suala la makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 16, 2018 03:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa katu haitakubali kufanyika mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia baina yake na mdola sita makubwa duniani.
-
Rouhani: Pande zote zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya Iran yatavunjika
Mar 05, 2018 23:26Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema pande zote husika zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yatasambaratika, katika hali ambayo Marekani inafanya jitihada za kuyafelisha mapatano hayo na kutoa vitisho vya kujiondoa kwenye makubaliano hayo kila mara.
-
Zarif azikosoa nchi za Ulaya kwa kukubali mashinikizo ya Marekani
Mar 05, 2018 13:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa baadhi ya matamshi na mienendo ya viongozi wa nchi za Ulaya kuhusuna na utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile tabia yao ya kusalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA asisitiza tena kuwa Iran imetekeleza kikamilifu makubaliano ya JCPOA
Mar 05, 2018 12:59Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa Iran imetekeleza kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuongeza kuwa wakala huo umeweza kufanya ukaguzi kwenye maeneo na vituo vyote ilivyohitajia ndani ya Iran.
-
Safari ya Jean-Yves Le Drian mjini Tehran: Mazungumzo ya wazi na kinagaubaga
Mar 05, 2018 03:54Leo Iran ni mwenyeji wa Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ambaye amewasili mapema leo alfajiri katika mji mkuu, Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa Iran.
-
Iran: Tutajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia iwapo hayatakuwa na maslahi kwetu
Feb 28, 2018 04:35Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran itajiondoa mara moja kwenye makubaliano ya nyuklia iwapo itahisi mapatano hayo hayana maslahi kwa taifa hili.
-
Araqchi: Uwepo wa Iran nchini Syria ni kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Feb 22, 2018 11:06Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwepo wa kiushauri wa Iran huko Iraq na Syria na kupambana na ugaidi umeyakwaza makundi ya kigaidi na kuyafanya yashindwe kuwa na udhibiti katika Mashariki ya Kati ikiwemo Lebanon.
-
Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani anaeneza chuki dhidi ya Iran
Feb 18, 2018 04:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Mshauri wa Usalama wa Taifa katika utawala wa Marekani anaeneza chuki dhidi ya Iran.