-
Ban Ki-moon: JCPOA ni mfano mzuri wa kutatuliwa mgogoro wa Rasi ya Korea
Feb 11, 2018 01:01Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, ameyaelezea mapatano ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi 6 kubwa za dunia yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA kuwa ni mfano mzuri kwa ajili ya kutatuliwa mgogoro wa Rasi ya Korea.
-
Russia: Suala la kuangaliwa upya makubaliano ya JCPOA halipo
Feb 10, 2018 04:14Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, suala la kuangalia upya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA halipo.
-
IAEA na EU zatetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Feb 09, 2018 00:00Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na Umoja wa Ulaya (EU) zimetetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA baina ya Iran na nchi za kundi la 5+1.
-
Russia yatoa indhari kuhusu matokeo yasiyotabirika endapo makubaliano ya nyuklia na Iran yatavunjika
Feb 08, 2018 00:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov ameonya kuwa kuvunjika makubaliano ya nyuklia na Iran kunaweza kuwa na matokeo yasiyoweza kutabirika.
-
Domokaya na makelele ya Trump hayawezi kubadilisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Feb 08, 2018 00:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha misimamo ya Tehran kuhusiana na matukio ya kieneo na kimataifa katika mkutano wake na waandishi wa habari wa ndani na wa nje na kusema kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwamba, katu hakutoongezwa au kupunguzwa chochote katika makubaliano hayo.
-
Onyo la Russia kuhusu juhudi za Marekani kutaka kubadili mapatano ya JCPOA
Feb 07, 2018 10:36Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameonya kwamba juhudi zinazofanywa na serikali ya Washington kwa madhumuni ya kuyafanyia mabadiliko ya kimsingi mapatano ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi 6 kubwa za dunia yanayojulikana kwa ufupisho wa JCPOA hatimaye zitapelekea kusambaratika kwa mapatano hayo.
-
Katibu Mkuu wa UN atetea makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 18, 2018 07:35Katibu Mkuu wa jumuiya kubwa zaidi ya kimataifa ametetea kuendelea kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Katibu Mkuu wa UN aunga mkono makubaliano ya JCPOA
Jan 18, 2018 03:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameunga mkono makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Rais Rouhani: Marekani imezidi kujidhalilisha kwa kukataa kuheshimu JCPOA
Jan 14, 2018 12:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani imefeli kimataifa na katika uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya Iran.
-
Wizara ya Mambo ya Nje Iran yamjibu Trump, Tehran haitafanya mazungumzo kuhusu JCPOA
Jan 13, 2018 10:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa rasmi ikitangaza kuwa, kwa mara nyinghine tena Rais wa Marekani amelazimika kurefusha muda wa kusitisha vikwazo vya nyuklia vya Iran licha ya juhudi zake za mwaka mzima za kutaka kufuta makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.