-
Zarif amjibu Trump, asema hakuna mazungumzo kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran
Jan 13, 2018 01:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya kujitakia makuu ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kusema haiwezekani kufanya mazungumzo mapya kuhusu mapatanao hayo huku akiitaka Marekani itekeleze ahadi zake.
-
Mogherini: Umoja wa Ulaya utaendelea kuheshimu maafikiano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 11, 2018 12:56Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo umeamua kuheshimu maafikiano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Mashauriano ya Zarif mjini Brussels kuhusu mustakbali wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 11, 2018 08:54Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yuko mjini Brussels nchini Ubelgiji kwa ajili ya mashauriano na Mawaziri wenzake wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na bi Federica Mogherini, Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Zarif: Uhai wa JCPOA unategemea kufungumana kikamilifu US
Jan 11, 2018 04:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haitaendelea kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, iwapo Marekani itayakiuka.
-
Marekani yatengwa katika kikao cha Baraza la Usalama kilichojadili mapatano ya nyuklia ya Iran
Dec 20, 2017 04:27Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameashiria kufanyika Kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu azimio nambari 2231 la mapatano ya nyuklia ya Iran na kusema washiriki wa kikao hicho walitangaza kuunga mkono mapatano hayo na kwamba kikao hicho kilithibitisha namna Marekani ilivyotengwa.
-
Rais Rouhani: Marekani haiwezi kubatilisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Dec 19, 2017 10:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema tokea yaanze kutekelezwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, Marekani imetaka mara kadhaa mapatano hayo yabatilishwa lakini haiwezi kufanikiwa katika hilo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza atembelea Iran asisitiza kuheshimu JCPOA
Dec 09, 2017 11:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Boris Johnson leo amekutna na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif hapa mjini Tehran na kusisitiza kuwa London inasisitiza kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA).
-
Mogherini asisitiza tena EU inafungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran
Dec 01, 2017 12:14Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya kwa mara nyingine amesisitiza kuwa EU itaendelea kufungamana na mapatano ya nyuklia baina ya Iran na kundi la 5+1.
-
Zarif: Iran iko Syria kwa "ombi rasmi" la serikali ya Damascus
Dec 01, 2017 01:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwepo Iran nchini Syria kumetokana na ombi rasmi la serikali ya nchi hiyo.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA asisitiza tena kwamba Iran imefungamana na makubaliano ya JCPOA
Nov 25, 2017 00:52Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa Iran imefungamana na kutekeleza kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.