Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Zarif: Marekani imekiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Zarif: Marekani imekiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Apr 21, 2017 11:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kwamba Marekani haijatekeleza majukumu yake mkabala na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Trump aamuru kuangaliwa upya makubaliano ya JCPOA

    Trump aamuru kuangaliwa upya makubaliano ya JCPOA

    Apr 19, 2017 02:47

    Rais Donald Trump wa Marekani ameiagiza kamisheni ya usalama wa taifa ya nchi hiyo kuangalia upya makubaliano kwa jina la Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Iran: Makombora yetu hayana uhusiano wowote na JCPOA

    Iran: Makombora yetu hayana uhusiano wowote na JCPOA

    Apr 13, 2017 03:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu kufanyia majaribio makombora yake haina mfungamano wowote na makubaliano ya nyuklia ya Vienna.

  • Russia yasisitiza kutekelezwa makubaliano ya JCPOA

    Russia yasisitiza kutekelezwa makubaliano ya JCPOA

    Feb 10, 2017 11:51

    Balozi wa Russia nchini Marekani amesisitiza udharura wa kutekeleza makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya kundi la nchi 5+1 na Iran yaani JCPOA.

  • Rouhani: Makubaliano ya nyuklia ya Iran ni kwa maslahi ya pande zote

    Rouhani: Makubaliano ya nyuklia ya Iran ni kwa maslahi ya pande zote

    Feb 07, 2017 11:34

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makubaliano ya nyuklia kati ya Tehran na kundi la 5+1 ni kwa maslahi na manufaa ya pande zote zilizosaini mapatano hayo huko Vienna Julai mwaka 2015.

  •  Jibu la Iran kwa ukiukaji wa Marekani wa JCPOA, ni kurutubisha SWU laki moja

    Jibu la Iran kwa ukiukaji wa Marekani wa JCPOA, ni kurutubisha SWU laki moja

    Feb 07, 2017 03:47

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa jibu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA utakaofanywa na serikali ya Marekani litakuwa ni kurutubisha Separative Work Unit (SWU) laki moja.

  • Araqchi: Kuna udharura wa kuweko ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya kiusalama

    Araqchi: Kuna udharura wa kuweko ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya kiusalama

    Jan 25, 2017 11:18

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna haja ya kuweko ushirikiano baina ya mataifa mbalimbali katika uga wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na aina mbalimbali ya vitisho vya kiusalama.

  • Baraza la Usalama la UN lathibitisha Iran imetekeleza makubaliano ya JCPOA

    Baraza la Usalama la UN lathibitisha Iran imetekeleza makubaliano ya JCPOA

    Jan 19, 2017 01:10

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza katika kikao chake kilichofanyika usiku wa kuamkia leo kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu yake yote kuhusu makubaliano ya nyuklia kati ya Tehran na kundi la 5+1 maarufu kwa kifupi kama JCPOA.

  • Iran: Iwapo Trump ataachana na JCPOA atashangazwa mwenyewe

    Iran: Iwapo Trump ataachana na JCPOA atashangazwa mwenyewe

    Jan 18, 2017 13:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, iwapo rais mteule wa Marekani ataamua kuachana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, hatua hiyo itamduwaza na kumuweka kinywa wazi yeye mwenyewe.

  • Amano: Iran imeheshimu kikamilifu makubaliano ya nyuklia

    Amano: Iran imeheshimu kikamilifu makubaliano ya nyuklia

    Jan 18, 2017 00:40

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ameeleza kuwa Iran imetekeleza majukumu yake yote yanayohusiana na makubaliano ya nyuklia kati yake na kundi la 5+1. i.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS