-
Jenerali Hatami ateuliwa kuwa Kamanda mpya wa Majeshi ya Iran
Jun 14, 2025 07:04Brigedia Jenerali Amir Hatami ameteuliwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, kuwa Kamanda Mkuu mpya wa Majeshi ya Iran.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel akiri juu ya uhaba mkubwa wa askari jeshini
Apr 27, 2025 07:30Naftali Bennet Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni amekiri kuwa jeshi la utawala huo linakabiliwa na uhaba mkubwa wa askari jeshini.
-
Iran: Hatutaki vita, lakini tutajihami kwa nguvu zote
Mar 05, 2025 04:14Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Hatufurahishwi na vita na machafuko na wala hatupendi, lakini iwapo adui ataanzisha vita dhidi yetu basi bila ya shaka tutailinda Iran kwa nguvu zetu zote na kutoa jibu kali kwa maadui.
-
Makamanda wengi wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa Ghaza
Jan 13, 2025 03:30Brigedia Jenerali mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kuwa asilimia 80 ya makamanda wa Brigedi ya Givati wameuawa au kujeruhiwa katika vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Ujue Mfumo wa Kisasa wa Iran wa Bavar 373 uliotumika kuzima hujuma ya Israel
Nov 03, 2024 09:41Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika Makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio muhimu ya sayansi nchini Iran na maeneo mengine duniani. Leo Makala yetu maalumu itaangazia mfumo wa kujihami angani wa Iran ujulikanao kama Bavar 373 ambao uwezo wake mkubwa umewashangaza wengi duniani.
-
Hatimaye utawala wa Kizayuni wakiri kuwa umeua mateka wake Ghaza
Jul 23, 2024 06:32Baada ya siku 290 za vita, hatimaye jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa makumi ya mateka wa Kizayuni wameuliwa katika ukanda wa Ghaza na askari wa utawala huo.
-
Makaburi 121 ya watu weusi yagunduliwa katika kambi ya anga ya Marekani
Jan 24, 2024 03:36Jeshi la Anga la Marekani limetangaza kugundua makaburi 121 ya watu weusi katika kambi ya jeshi hilo ya MacDill huko Tampa.
-
Ombi la Italia la kuunda jeshi la Ulaya
Jan 09, 2024 02:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Antonio Tajani, amesema kwamba Umoja wa Ulaya unapaswa kuunda jeshi lake la pamoja ambalo linaweza kuwa na jukumu la kudumisha amani na kuzuia migogoro.
-
Idadi ya wanajeshi wa Israel walioangamizwa wafikia 501
Jan 04, 2024 03:10Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuwa, idadi ya askarii wake waliouawa hadi sasa tangu ilipototekkelezwa operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa imefikia 501.
-
Mkuu wa Intelijinsia wa jeshi la Kizayuni: Tumeshindwa
Nov 02, 2023 02:31Kufuatia utawala wa Kizayuni kukiri kushindwa mbele ya wanamapambano wa Palestina, Mkuu wa Idara ya Ujasusi katika jeshi la utawala huo ghasibu pia amesisitiza akisema:" Sisi tumeshindwa."