-
Juhudi za kufanya mapinduzi nchini Sudan
Apr 16, 2023 13:23Nchini Sudan hali si shwari ambapo habari kutoka nchini humo zinaonyesha kuendelea mapigano kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya radiamali ya haraka na kuzusha wasiwasi wa kutokea mapinduzi katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Camarillo: Vijana hawana hamu ya kulitumikia jeshi
Mar 23, 2023 07:25Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) ameeleza kuwa, ni vijana wachache sana nchini humo ambao wana hamu ya kufanya kazi jeshini.
-
Mazoezi ya Kijeshi ya Zulfiqar; Dhihiriso la Nguvu za Kujihami za Iran + VIDEO
Jan 01, 2023 10:16Kwa mujibu wa desturi ya kila mwaka ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, mazoezi ya pamoja ya Zulfiqar yamefanyika kusini mashariki na katika pwani ya Makran.
-
Jeshi la Iran kufanya maneva ya kijeshi ya droni
Aug 24, 2022 04:18Jeshi la Iran leo Jumatano linatazamiwa kuzindua luteka ya kijeshi itakayohusisha ndege zisizo na rubani (droni).
-
Ripoti ya Amnesty International kuhusu jinai za kivita za serikali ya Ukraine
Aug 08, 2022 05:42Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti mpya na kuilaumu serikali ya Ukraine kwa jinai za kivita ilizofanya dhidi ya raia na watu wasio na hatia wa nchi hiyo.
-
Kamanda: Vikosi vya Jeshi la Iran vinaendelea kuimarika licha ya vikwazo
Jul 15, 2022 02:28Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu vinendelea kuimarika na kupata nguvu zaidi siku baada ya siku, licha ya vikwazo na mashinikizo ya kiuchumi dhidi ya taifa hili.
-
Jumatano tarehe 13 Julai 2022
Jul 13, 2022 06:23Leo ni tarehe 13 Dhulhija 1443 Hijria sawa na tarehe 13 Julai 2022.
-
Iran yazindua kituo cha chini ya ardhi cha ndege za kivita zisizo na rubani
May 29, 2022 03:55Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi chenye idadi kubwa ya ndege za kisasa za kivita zisizo na rubani.
-
Waziri wa Ulinzi wa Yemen: Mustakabali wa kutisha utaziandama nchi vamizi
Mar 23, 2022 07:48Waziri wa Ulinzi wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen amesisitiza kuwa, muundo na sura ya muqawama katika siku zijazo utakuwa wa kutisha kwa nchi vamizi.
-
The Wall Street Journal: Uasi wa kiraia nchini Sudan unachochewa na hali mbaya ya uchumi
Jan 19, 2022 11:27Gazeti la Kimarekani la "The Wall Street Journal" limeripoti kuwa uasi wa kiraia ulioanza jana Jumanne nchini Sudan unazidisha mzozo kati ya waandamanaji na majenerali wa jeshi la nchi hiyo.