-
Kamanda: Adui hawezi kustahamili gharama za makabiliano na Iran
Dec 29, 2021 04:32Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amewashauri maadui wasithubutu kupima uwezo wa kijeshi wa Iran kwa kufanya chokochoko kwani hawataweza kustahamili gharama za vita vya pande zote na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iraq: Tarehe ya kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini haibadilishiki
Nov 28, 2021 02:50Msemaji wa Komandi ya Operesheni za Pamoja ya Iraq amesema kuwa, wakati wa kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini humo haibadilishiki.
-
Marekani yaendeleza njama za umwagaji damu ili kuhakikisha haitimuliwi nchini Iraq
Nov 26, 2021 02:48Makundi ya kisisa nchini Iraq yamesema kuwa, Marekani inaendelea kufanya njama za kuchochea machafuko na umwagaji damu nchini Iraq ili kujiwekea kinga ya kutotimuliwa nchini humo.
-
Jeshi la Iraq lakanusha: Muda wa kuwepo kijeshi Marekani haujarefushwa
Nov 20, 2021 12:21Msemaji wa kamandi ya operesheni za pamoja za Iraq amesema muda wa kuwepo wanajeshi wa Marekani nchini humo haujarefushwa.
-
Jeshi la Iraq laendelea kushirikiana na al Hashd al Shaabi kupambana na magaidi
Oct 26, 2021 12:15Vikosi mbalimbali vya jeshi la Iraq vinaendelea kushirikiana na harakati ya kujitolea ya wananchi wa nchi hiyo maarufu kwa jina la al Hashd al Shaabi kupambana na magaidi kusini mwa mji wa Mosul, kaskazini mwa Iraq.
-
Ongezeko la idadi ya wanajeshi watoro katika jeshi la Israeli
Oct 18, 2021 12:21Duru za habari za Israel zimeripoti kuwa idadi ya askari wanaotoroka jeshi la utawala huo inaongezeka siku baada ya siku.
-
Watu kadhaa wauawa, zaidi ya 60 wajeruhiwa katika mapigano ya silaha mjini Beirut, Lebanon
Oct 14, 2021 13:51Duru za habari nchini Lebanon zimeripoti kuwa mapigano makali yanendelea baina ya askari usalama na watu wasiojulikana katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut ambapo idadi ya waliojeruhiwa hadi sasa imepindukia watu 60.
-
Vikosi vya ulinzi vya Iraq vyadhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa nchi hiyo na Syria
Oct 14, 2021 02:19Komandi ya Vikosi vya Gadi ya Mipakani ya Iraq imetangaza kuwa hivi sasa jeshi la nchi hiyo linalidhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa Iraq na Syria.
-
Vyombo vya Kizayuni vyakiri kufeli Israel Ukanda wa Ghaza
Sep 11, 2021 01:30Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimekiri kushindwa Israel katika vita vya hivi karibuni vya Ukanda wa Ghaza na kusema kuwa, kiwango cha kufeli huko ni kikubwa sana.
-
Januari 31 yatangazwa kuwa siku ya mwisho ya askari wa Marekani kuwepo katika ardhi ya Iraq
Sep 10, 2021 12:50Kamandi Kuu ya operesheni za pamoja za jeshi la Iraq imetangaza tarehe ya mwisho kwa askari wa jeshi la Marekani kuwepo katika ardhi ya nchi hiyo.